Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

UMUGHAKA amechoka jamani safari ni ndefu
20230110_100757.jpg
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂! Unaniangushaaa sis lol!! Master ni UMUGHAKA sis
UMUGHAKA alienda kuonana na To yeye baada ya Ile ep ya mwisho.

Toka siku hyo Umughaka kaingia ndani kwa To yeye ajatoka nje kazi yake ni kuangalia tv na kula basi.

Tetesi nilizozipata kutoka kwa jirani mwenzangu Saint Anne pale Mbeya ni kua Umughaka atatoka huko ndani shavu dodo, Na haruhusiwi hata kushika simu yake.

Hapa kuna namna ccy nakwambia.
 
Back
Top Bottom