Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Chizi Maarifa em njoo kwanza hapa.
Antonnia anakutafuta sana.
Ety kasema we ni mtu mkavu😂😂😂
Chonde chonde nawaomba msimwite huyo mwendawazimu atakuja chafua hali ya hewa hapa. Mwacheni maana akivuta mabangi yake huko akaja humu kutachafuka. Mwacheni please. Huyo hana akili...hafai.
 
Yanii mi mwenyewe memshangaa Lovelovie kweli! Eti kasema Chiz maarifa ni mkate tu yeye chai sijui anajiamini nini
 
Back
Top Bottom