moneytalk
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 7,976
- 16,769
[emoji38][emoji38][emoji38]acha uogaAhaa nishampata huyo Huwa anamuongelea masta hata huko kwingine ! Mambo yake tumuachie mwenyewe asije akatupopoa nasie walai!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji38][emoji38]acha uogaAhaa nishampata huyo Huwa anamuongelea masta hata huko kwingine ! Mambo yake tumuachie mwenyewe asije akatupopoa nasie walai!!
Unataka kusema Umughaka karogwa?Na haruhusiwi hata kushika simu yake.
Wewe ni chawa wa chizi?Moderator mwachien Chizi Maarifa acomment hapa. Kwa nini mnamnyima haki yake ya msingi?
Nimepishana naye huko Mbagala anatembea huku anaongea peke yake 😂Chizi Maarifa amekula ban
Jamaa hata humu anapost thread afu anaanza kujibu mwenyeweNimepishana naye huko Mbagala anatembea huku anaongea peke yake 😂
HahahaaaJamaa hata humu anapost thread afu anaanza kujibu mwenyewe
Ni kawaida yakeHahahaaa
Kapewa mahaba moto moto sio yale ya kikuryaUnataka kusema Umughaka karogwa?
Vipi tumloge apigwe permanent ban?Ni kawaida yake
Ahahaaa yale mahaba ya kung'atwa, kufinywa na kupigwa vibao na mademu wa kikurya hayapo kwa wanyaki?Kapewa mahaba moto moto sio yale ya kikurya
Umughaka kashafanya yake.Vipi tumloge apigwe permanent ban?
Hayapo kabisa kabisaAhahaaa yale mahaba ya kung'atwa, kufinywa na kupigwa vibao na mademu wa kikurya hayapo kwa wanyaki?
Kwa kweliUmughaka kashafanya yake.
Naomba uthibitishoHayapo kabisa kabisa
SiwezNaomba uthibitisho
Nina ID tatu zote kupigwa ban ngumu sanaMkipigwa ban mnaanza kujiliza liza kama nyau wa Tandale, kwa nini lakini unashindwa kutumia lugha za heshima?