Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Moderator wamemzuia asitoe mawazo yake katika huu uzi.... Tuombe aachiliwe naana alikuwa anachangamsha ingawa ana ukichaa wake.Mi simooooo🙌🙌🙌🙌 Huyooo kwa kuangalia muvi zake na watu humu namuogopaa😁😁😁😂 akikuvaa utakoma!!