Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Dogo kashaingizwa mjini naye kawa mjanja. Angekuwa DeepPond angekuwa keshamalizaIla jamaa mzinguaji sana nowadays, nadhani sifa zimemzidia mpaka akajiona mkubwa, sasa naanza kuungana na chizimaarifa kwa haya mambo anayofanya, how comes mtu story ya siku moja usimulie mwezi mzimaa??? Yaani kama ingewezekana mods waufute huu uzi na jamaa wampige ban kwa kuwafanya watu misukule wake humu jf
Bora shunie arudi kwenye ubora wake story zake zinaisha sio uyu kurya boyIla jamaa mzinguaji sana nowadays, nadhani sifa zimemzidia mpaka akajiona mkubwa, sasa naanza kuungana na chizimaarifa kwa haya mambo anayofanya, how comes mtu story ya siku moja usimulie mwezi mzimaa??? Yaani kama ingewezekana mods waufute huu uzi na jamaa wampige ban kwa kuwafanya watu misukule wake humu jf
Hata sikumbuki, Masta ametuacha muda mrefu sana sijui nini kinamuwekaHivi aliishia sehemu ya ngapi?
Hizi tibia za...Hoko kumstiri ukute ni kumpeleka moto kile kumbe, au kuoelekewa moto na kiumbe
Mimi maya, ningeshamgeuza kitoweo.Kwa kuwa UMUGHAKA yupo busy na mambo yake basi sisi wasubiriaji tuwe busy kwanza na kusimuliana visa na mikasa humu humu kwenye uzi wake mpaka atakapo rudi tuwe tumeshapotelea mbali yaani akirudi aanze mwanzo kutusimulia maana tutakuwa tumeshasahau.
Mimi ningeshaondoka na lile Audi siku nyingi
Umeipata pata sasa..sisi tulilalamika siku nyingi huyu jamaa ana katabia flani hivi "kahovyo". Mpaka tukashauri kama ulivyoshauri Mods wafute huu uzi maana umejaa malumbano tu na yeye anapita anaangalia tu.Ila jamaa mzinguaji sana nowadays, nadhani sifa zimemzidia mpaka akajiona mkubwa, sasa naanza kuungana na chizimaarifa kwa haya mambo anayofanya, how comes mtu story ya siku moja usimulie mwezi mzimaa??? Yaani kama ingewezekana mods waufute huu uzi na jamaa wampige ban kwa kuwafanya watu misukule wake humu jf
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]omughaka ulisema ukitoka mbeya utaleta simulizi mfululizo
imekuwaje tena