Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Dogo kashaingizwa mjini naye kawa mjanja. Angekuwa DeepPond angekuwa keshamalizaIla jamaa mzinguaji sana nowadays, nadhani sifa zimemzidia mpaka akajiona mkubwa, sasa naanza kuungana na chizimaarifa kwa haya mambo anayofanya, how comes mtu story ya siku moja usimulie mwezi mzimaa??? Yaani kama ingewezekana mods waufute huu uzi na jamaa wampige ban kwa kuwafanya watu misukule wake humu jf