Shanga tena Mkuu?Mtoto wa "kigogo" huyo aba shanga za kutosha๐ usilaze damu
Sa unaogopa nini? We maya ungemuweza kweli?๐ก๐กShanga tena Mkuu?
Nitakutagi Mkuu. Ninajua leo lazima atupie episode hata mbili.Oi natoka kwenye huu uzi jamaa akileta next episode hata mwakani unitag
Mojamoja ndio mpango๐Nitakutagi Mkuu. Ninajua leo lazima atupie episode hata mbili.
Ukilazimisha mbili atagawanya moja mara2Nitakutagi Mkuu. Ninajua leo lazima atupie episode hata mbili.
Maya Shombe. Nina fantasy nao. Lazima ningesimamia kucha.Sa unaogopa nini? We maya ungemuweza kweli?๐ก๐ก
Sawa sawa.Mojamoja ndio mpango๐
Umughaka mzungu. Hana uswahili.Ukilazimisha mbili atagawanya moja mara2
Pambana na Demi kwanza na utupe "mrejesho nyuma"Umughaka mzungu. Hana uswahili.
Sawa Mkuu. Nitakuketeeni uzi wa jinsi tulivyolima shamba lake na kunywa maji kisimani mwake.Pambana na Demi kwanza na utupe "mrejesho nyuma"
Sio manyau nyau.asili ya mali ndio ilivyo.kama utaitaka kupitia njia za kilimwengu ni lazima ufosi na u have to pay a big price.Aiseee yaani hii hadithi inafanya pesa ionekane kuipata ni mzozo mkubwa sana.
Yaani unaweza kuhisi pasipo mauza uza na manyau nyau huwezi kutoboa haya maisha
Ndoivo mkuu na ukiitafuta kwa njia halali you have to pay a Big price Too, kwasababu inakuitaji uwe Too commited and Too Carefuly ila kizuri ni kwamba unaitumia kwa Amani kabisa hudaiwi damu na mali za watuSio manyau nyau.asili ya mali ndio ilivyo.kama utaitaka kupitia njia za kilimwengu ni lazima ufosi na u have to pay a big price.ukitaka nying za kuforce kimpango wako za haraka labda uwe jambaz na hapo price ni roho za watu ukitaka hizo za non violence ndio hizo ukaingia mikataba na ulimwengu wa roho na wao nao wana mashart yao kama hayo ya mchiz kumzagamua maiya
I don't trust it. Otherwise waafrika tulivyo wachawi tungekuwa matajiri kuliko wazungu.Ndoivo mkuu na ukiitafuta kwa njia halali you have to pay a Big price Too, kwasababu inakuitaji uwe Too commited and Too Carefuly ila kizuri ni kwamba unaitumia kwa Amani kabisa hudaiwi damu na mali za watu
[emoji2960] Haya bhnaunaguna maya atamwagwa maji
Hahha eti shostiJ
Poa moto ntakuita shasti usijali.
TajiriiiiNdoivo mkuu na ukiitafuta kwa njia halali you have to pay a Big price Too, kwasababu inakuitaji uwe Too commited and Too Carefuly ila kizuri ni kwamba unaitumia kwa Amani kabisa hudaiwi damu na mali za watu
Men[emoji3517]