El maestro10
Member
- Dec 7, 2022
- 32
- 58
Sijawahi kukupinga umughaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Jana Nimekupigia Kura kwenye JF Chit Chat & JokesUMUGHAKA umeshapata kura yangu
SanaMkuu Jana Nimekupigia Kura kwenye JF Chit Chat & Jokes
Unaeza kuta mtu ni rahisi kusave akiwa na family kuliko akiwa single,mtu ana mademu wanne,bdo ndo mlevi unategemea nnKama yuko na familia ya watoto kwanzia wawili basi itakuwa ngumu kusave. Ila kama yuko pekee yake anaweza weka hata laki tatu kila mweiz mwaka uishe hakosi ata M3 au mbili point kadhaa
👇👇Umepigaje Kura? Maana me naona sielewi hivo nimeishia kumtag tu UMUGHAKA kwenye huo Uzi wa kupiga kura
Ingia kwenye huo Uzi wa Kupiga Kura, Kisha kwenye jina la UMUGHAKA utaona Duara dogo, click ndani ya hilo Duara halaf chini bonyeza “CAST VOTE”
View attachment 2454239
Yaani mie Bado naweza nikawa nalala pale ubungo ili malengo yangu yatimie. Hata kwenye magari yaliyoko gereji n.kHata mimi nilishangaa kuishi kwenye chumba cha gharama hvyo tena chumba na sebule
Kwangu haiji hivo ndomana nimefeli...! Anyway shukrani mkuu[emoji116][emoji116]
Kwangu haiji hivo ndomana nimefeli...! Anyway shukrani mkuu
Inawezekana tatizo ni App, maana me mwenyewe natumia AppMwenyewe natamani kumpigia kula lakini nashindwa haiji kama anavyoonyesha jamaa au kisa natumia app sijui.
Fungua jukwaa la entertainment >>uzi wa kwanza (sticky thread) >>page 1Kwangu haiji hivo ndomana nimefeli...! Anyway shukrani mkuu
OUT OF TOPIC:
Tumpigieni KURA UMUGHAKA aweze Kushinda kwenye Mashindano ya Jamii Forum Entertainment. Hii ndo njia ya kumlipa kwa jinsi anavotuburudisha. Mpaka sshv tumepiga kura watu 14 tu, please Lets Support him.
Piga Kura kumchagua mwanachama bora wa JF Entertainment 2022
Katika kutambua umahiri wa baadhi ya wanachama, Jamii Forums inaendelea na mchakato wa kumpata mwanachama bora wa mwaka 2022. Tafadhali piga kura yako ili kumpata mwanachama bora wa mwaka 2022 kwenye Jukwaa la Entertainment. Kura zitapigwa kwa muda wa siku tano. Mchakato wa kupata majina...www.jamiiforums.com
umughaka kawaacha mbali sana,kesha gongesha besela kama mara 10 hivi😂😂
Hao ndio wanaume ambao hubaka watoto na vichaa.Wewe unaweza kulala na mke wa kaka yako?