Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Jinsi ulivyo tapeliwa hiyo 9M umenikumbusha nilivyompa mtu 500k aipeleke mahali nikampa na elf 15 ya nauli japo nauli ilikua hata elfu 3 inatosha kufika njian akaichezea kamari akaliwa yote alafu akanipigia simu kwa simu ya kuazima akanimbia "Bro naomba kama una elfu mbili nitumie nikifika huko tutaongea"
Nikamuulize hela imefika? Akanijibu usiwe na haraka bro we nitumie elfu mbili nije nikuelezee vizuri kwa simu hutanielewa.

Nilimpa jibu moja tu "usirudi nitakuua"
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom