Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Namna gani ya kupiga kura?
Ingia kwenye huo Uzi wa Kupiga Kura, Kisha kwenye jina la UMUGHAKA utaona Duara dogo, click ndani ya hilo Duara halaf chini bonyeza “CAST VOTE”

87BA4832-D807-41DB-A420-4CA29780D014.jpeg
 
Nimeanza kuyaona yale ninayoamini. Yaani mke wako huwa hapendi uishi na ndugu zako Ila ndugu zake tu sema Kama hao waliosoma na wanaojua hela. Yaani ukifanikiwa na ukaoa Kilimanjaro na umetokea huko Kama kyasaka ndipo utajua. Jamani mke wangu adhubutu kunyanyua mdomo kujibizana namie. Bora niishi single
Kwa akili yako Kaskazini ni Kilimanjaro pekee? Na wanapatikana Wachagga pekee?
 
Tumpigieni KURA UMUGHAKA ili aweze Kushinda kwenye Mashindano ya Jamii Forum Entertainment. Hii ndo njia ya kumlipa kwa jinsi anavotuburudisha. please Lets Support him apate Moyo wa kuendelea kutuburudisha.

UMUGHAKA umeshapata kura yangu
 
Back
Top Bottom