Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,973
- 150,463
Wewe mwenyewe shahidi hazijawahi kunidanganyaLoh basi sawaaaaa.😀
Ndoto zako zinakuwaga ni za kweli siku zote?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mwenyewe shahidi hazijawahi kunidanganyaLoh basi sawaaaaa.😀
Ndoto zako zinakuwaga ni za kweli siku zote?
Njoo unisimulie🤣🤣🤣🤣
Vitu avipendavyo lee wa demiNjoo unisimulie
Alikuwa amechanganyikiwa tu, mtu alishawahi kusafiri unajua kabisa gesti unaulizia bodaboda fasta unafikaUgeni...
Hapo angewakubalia wale wabeba mizigo wangemfanyia kwa 2000 tuu, au angekodi boda angempeleka lodge saafi kwa 1000 tuu.
Sema ugeni ni ugeni tuu.
Kamtag username yake
Hongera mkuu na raha jipe mwenyeweNdio mkuu
Hapana kupiga kura sio kwa kumtag bali unaclick ndani ya Duara pembeni ya Jina lake kisha unabonyeza “CAST VOTE”Kamtag username yake
Ingia kwenye huo Uzi wa Kupiga Kura, Kisha kwenye jina la UMUGHAKA utaona Duara dogo, click ndani ya hilo Duara halaf chini bonyeza “CAST VOTE”Namna gani ya kupiga kura?
ipo ila kuna mzigo alitakiwa arudi nao
Poa, uko salama?Mambo Darlin
Nami natamani kujua alimfanyajeUlimfanyaje?
Kwa akili yako Kaskazini ni Kilimanjaro pekee? Na wanapatikana Wachagga pekee?Nimeanza kuyaona yale ninayoamini. Yaani mke wako huwa hapendi uishi na ndugu zako Ila ndugu zake tu sema Kama hao waliosoma na wanaojua hela. Yaani ukifanikiwa na ukaoa Kilimanjaro na umetokea huko Kama kyasaka ndipo utajua. Jamani mke wangu adhubutu kunyanyua mdomo kujibizana namie. Bora niishi single
Nashukuru alifanya maamuzi sahihi ya kukimbilia kusikojulikana na kuniepusha kuandikwa kwenye magazeti na jelaUlimfanyaje?
Ukiwa poa na mimi nakua poa tuPoa, uko salama?
Mpaka leo hujamuona?Nashukuru alifanya maamuzi sahihi ya kukimbilia kusikojulikana na kuniepusha kuandikwa kwenye magazeti na jela
SijamuonaMpaka leo hujamuona?
UMUGHAKA umeshapata kura yanguTumpigieni KURA UMUGHAKA ili aweze Kushinda kwenye Mashindano ya Jamii Forum Entertainment. Hii ndo njia ya kumlipa kwa jinsi anavotuburudisha. please Lets Support him apate Moyo wa kuendelea kutuburudisha.
Piga Kura kumchagua mwanachama bora wa JF Entertainment 2022
Katika kutambua umahiri wa baadhi ya wanachama, Jamii Forums inaendelea na mchakato wa kumpata mwanachama bora wa mwaka 2022. Tafadhali piga kura yako ili kumpata mwanachama bora wa mwaka 2022 kwenye Jukwaa la Entertainment. Kura zitapigwa kwa muda wa siku tano. Mchakato wa kupata majina...www.jamiiforums.com