Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Jinsi ulivyo tapeliwa hiyo 9M umenikumbusha nilivyompa mtu 500k aipeleke mahali nikampa na elf 15 ya nauli japo nauli ilikua hata elfu 3 inatosha kufika njian akaichezea kamari akaliwa yote alafu akanipigia simu kwa simu ya kuazima akanimbia "Bro naomba kama una elfu mbili nitumie nikifika huko tutaongea"
Nikamuulize hela imefika? Akanijibu usiwe na haraka bro we nitumie elfu mbili nije nikuelezee vizuri kwa simu hutanielewa.

Nilimpa jibu moja tu "usirudi nitakuua"

Kulikuwa hakuna Mpesa?
 
Tumpigieni KURA UMUGHAKA ili aweze Kushinda kwenye Mashindano ya Jamii Forum Entertainment. Hii ndo njia ya kumlipa kwa jinsi anavotuburudisha. please Lets Support him apate Moyo wa kuendelea kutuburudisha.

OUT OF TOPIC:
Tumpigieni KURA UMUGHAKA aweze Kushinda kwenye Mashindano ya Jamii Forum Entertainment. Hii ndo njia ya kumlipa kwa jinsi anavotuburudisha. Mpaka sshv tumepiga kura watu 14 tu, please Lets Support him.

Hili neno aisee, jamaa anastahili kura zetu.
 
Madem hawakuwahi kuwa sehemu ya maisha yangu katika utafutaji japo nimekuwa nao kadhaa ila huwa sitaki sana kusimulia mambo ya mademu,nikimaliza hii stori nadhani sasa nitaanza kusimulia ya demu wangu Shamima wa Tanga alivyo fanya nikafeli shule,humo kuna kila kitu na kama wewe ni mpenzi wa migegeduo basi utafurahi na roho yako,endelea kusubiri!
Deejay waleteeeeeee
 
Tumpigieni KURA UMUGHAKA ili aweze Kushinda kwenye Mashindano ya Jamii Forum Entertainment. Hii ndo njia ya kumlipa kwa jinsi anavotuburudisha. please Lets Support him apate Moyo wa kuendelea kutuburudisha.

Ameshapita tayari aseme kingine, aya mkuu UMUGHAKA lete vitu when you’re available
 
Mkuu,hawa waajiriwa wa mwisho wa mwezi alaf hana mishe yyte ya nje alaf kazi haina namna ya upigaji,900k haigawanyiki,,kama unabisha jaribu kupiga hesabu,
Kama yuko na familia ya watoto kwanzia wawili basi itakuwa ngumu kusave. Ila kama yuko pekee yake anaweza weka hata laki tatu kila mweiz mwaka uishe hakosi ata M3 au mbili point kadhaa
 
Madem hawakuwahi kuwa sehemu ya maisha yangu katika utafutaji japo nimekuwa nao kadhaa ila huwa sitaki sana kusimulia mambo ya mademu,nikimaliza hii stori nadhani sasa nitaanza kusimulia ya demu wangu Shamima wa Tanga alivyo fanya nikafeli shule,humo kuna kila kitu na kama wewe ni mpenzi wa migegeduo basi utafurahi na roho yako,endelea kusubiri!
Mimi ni shabiki namba moja wa migegeduo. Unitag wa kwanza kabisa..
 
Back
Top Bottom