Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Kuna nyuzi kibao humu JF watu wanadai walishindwa kutombaaa kwa sababu ya either mdomo kunuka, kumqa kunuka, vikwapa kunuka nk. Nawaza ni aina gani ya mtu anaweza kufanya hivyo. Hata nguvu ya kupiga bao za kuunganisha[emoji51]

Unapata wapi hisia na Nyegee kweli hapa kuna jambo nyuma ya pazia. .
Ndo useme sasa. After all hii ni story kila mtu anatafsiri vyake.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Unapata wapi hisia na Nyegee kwe
Kwa sababu maumivu ya umasikini yalizidi maumivu ya harufu Kali so ikabidi nguvu zikapatikana. Mbona watu mnakuwa Kama watoto ama Kuna watu bado wanalishwa. Inakuwaje mtu anazibua choo ama kufukua maiti ,ama kuzibua mitaro ya maji machafu.
Yaani maumivu ya umasikini na kutaka kupata hela ya kula yanashinda hiyo harufu.
Ila samahani Mana hizi brains zetu Zina matatizo mno mkuu ukizichimba mno
 
Kuna nyuzi kibao humu JF watu wanadai walishindwa kutombaaa kwa sababu ya either mdomo kunuka, kumqa kunuka, vikwapa kunuka nk. Nawaza ni aina gani ya mtu anaweza kufanya hivyo. Hata nguvu ya kupiga bao za kuunganisha[emoji51]

Unapata wapi hisia na Nyegee kweli hapa kuna jambo nyuma ya pazia. .
Vichaa wasingekua wanazaa.
 
Mambo ya kukufuru umeyajuaje kama sio umefundishwa huko kanisan kwenu??

Mambo ya mungu na shetan umeyatoa wapi kama sio kwny mafundisho ya kansani ambako mnatumia biblia kama backbone ya mafundisho yenu?
Mzee vipi mbona unanishukia jumla jumla.
Nimetoa kwenye masimulizi ya mtaani na humuhumu jf. Kwa nyuzi na maoni ya watu mbalimbali.

Ukiniambia mambo ya vifungu unanchanganya, mimi sijakalili kifungu hata kimoja.
 
UMUGHAKA tata umeamua kutunyoosha bwana...haki vile dozi imewaingia wapenda hadithi...kuna wengine wanasema kama unataka walipie wapo teyari kaka mkubwa
Ndio Nimegundua kumbe jamaa wanaanza kwa Kasi Ila dakika za mwisho wanakuwa bize Ila mwanzo hawapo bize. Hata jack Daniel naye kule anajivuta mno na milango ya mafanikio. Yaani mwamba humu ni deepond tu
 
Cha ajabu wakati Master anaambiwa awe anachukua 50,000 ya kuhemea makabeji,Farah alianza kuuliza kuwa mbona kila siku unachukua 50,000 mnabiashara gani na Ally
kumbuka alikuwa hajaenda chumbe kuingizwa rasmi kwenye chama,ukimtembelea ndugu yako kwa mara ya kwanza,mbwa wake atakukimbiza,lakini ukihamia kwake,mbwa wake anakuzoea na kukupenda....
 
Kuna nyuzi kibao humu JF watu wanadai walishindwa kutombaaa kwa sababu ya either mdomo kunuka, kumqa kunuka, vikwapa kunuka nk. Nawaza ni aina gani ya mtu anaweza kufanya hivyo. Hata nguvu ya kupiga bao za kuunganisha😬

Unapata wapi hisia na Nyegee kweli hapa kuna jambo nyuma ya pazia. .
Nguvu ya pesa watu wanashindwa kwa kuwa hakuna kitu kinainfluence ni starehe tu, lakini kwa hii case cha kwanza ni utajiri kinachoangaliwa sio mbususu tu. Navyoelewa mhusika kavumilia kwa kuwa kwenye ndoto zake alikua anaota maisha kama ya Ally Mpemba.
 
Na mchizi alielezwa kabisa kwamba huo uchafu ndo hela yenyewe, ila kachagua kutokuelewa
 
Enzi hizo bado niko mdogo kuna tukio la ajabu sana liliitokea familia ya jirani yetu

Huyu jirani yetu alikuwa akifuga ng'ombe mmoja nyumbani kwake mwenye ukilema wa mguu mmoja na alikuwa akipendana nae sana kiasi cha kuzua ya kuzuriwa na majirani,sasa siku moja bwana mida ya kama saa 12 hivi asubuhi kikasikika kwake kilio cha mtu mzima aliyekuwa akilia kwa uchungu sana;

Sasa kwa kujiongeza tu tukajua lazima atakuwa kafiwa na ndugu,hivyo majirani wakakusanyika fasta kwake kumtia moyo(kumpa pole kwa kipagani),tulipofika pale kwake akawa ndio kazidisha kilio kwa lugha ya kitaa tunaweza kusema kuwa aliongeza volume mpaka mwisho

Basi bwana watu wakakaa kaa hapo,wazee wenzake akiwamo na baba yangu ambae ndio babu yenu kwa sasa wakawa wanamwambia atulize moyo sasa awaeleze ni kipi kimemkumba,akalia lia kama robo saa nzima kisha eti akatutaka radhi majirani zake kwa kutuamsha na vilio vyake na cha kushangaza akasema yeye hajapatwa na msiba wowote ila asubuhi alipokwenda chumbani kwa ng'ombe wake kumjulia hali kama afanyavyo siku zote kamkuta ng'ombe wake kipenzi hatuko nae tena Duniani.

Huwezi amini hazikupita hata siku tatu yule dingi akawa amedanja(kufa),tukamzika akaoza na kuwa udongo mpaka leo tunasubiria na sisi tufe tukamuulize ilikuaje wakapishana na ng'ombe(ngombhe kwa kihaya) wake siku 3 tu kufa au kulikiwa na siri fulani kubwa kati yake na ng'ombe wake

Angalizo:Uzi huu usitumike kuharibu kisa kitamu cha UMUGHAKA na Maya wake kwa wachangiaji wengine kuanza kutoa toa na kusimulia simulia visa vya ng'ombe wa mtaani kwao kwani uzi huu sio maalum kwa story za mipaka na ming'ombe
 
M
Enzi hizo bado niko mdogo kuna tukio la ajabu sana liliitokea familia ya jirani yetu

Huyu jirani yetu alikuwa akifuga ng'ombe mmoja nyumbani kwake mwenye ukilema wa mguu mmoja na alikuwa akipendana nae sana kiasi cha kuzua ya kuzuriwa na majirani,sasa siku moja bwana mida ya kama saa 12 hivi asubuhi kikasikika kwake kilio cha mtu mzima aliyekuwa akilia kwa uchungu sana;

Sasa kwa kujiongeza tu tukajua lazima atakuwa kafiwa na ndugu,hivyo majirani wakakusanyika fasta kwake kumtia moyo(kumpa pole kwa kipagani),tulipofika pale kwake akawa ndio kazidisha kilio kwa lugha ya kitaa tunaweza kusema kuwa aliongeza volume mpaka mwisho

Basi bwana watu wakakaa kaa hapo,wazee wenzake akiwamo na baba yangu ambae ndio babu yenu kwa sasa wakawa wanamwambia atulize moyo sasa awaeleze ni kipi kimemkumba,akalia lia kama robo saa nzima kisha eti akatutaka radhi majirani zake kwa kutuamsha na vilio vyake na cha kushangaza akasema yeye hajapatwa na msiba wowote ila asubuhi alipokwenda chumbani kwa ng'ombe wake kumjulia hali kama afanyavyo siku zote kamkuta ng'ombe wake kipenzi hatuko nae tena Duniani.

Huwezi amini hazikupita hata siku tatu yule dingi akawa amedanja(kufa),tukamzika akaoza na kuwa udongo mpaka leo tunasubiria na sisi tufe tukamuulize ilikuaje wakapishana na ng'ombe(ngombhe kwa kihaya) wake siku 3 tu kufa au kulikiwa na siri fulani kubwa kati yake na ng'ombe wake
Mdarasinii huu
 
Back
Top Bottom