Ndo useme sasa. After all hii ni story kila mtu anatafsiri vyake.Kuna nyuzi kibao humu JF watu wanadai walishindwa kutombaaa kwa sababu ya either mdomo kunuka, kumqa kunuka, vikwapa kunuka nk. Nawaza ni aina gani ya mtu anaweza kufanya hivyo. Hata nguvu ya kupiga bao za kuunganisha[emoji51]
Unapata wapi hisia na Nyegee kweli hapa kuna jambo nyuma ya pazia. .
Kwa sababu maumivu ya umasikini yalizidi maumivu ya harufu Kali so ikabidi nguvu zikapatikana. Mbona watu mnakuwa Kama watoto ama Kuna watu bado wanalishwa. Inakuwaje mtu anazibua choo ama kufukua maiti ,ama kuzibua mitaro ya maji machafu.Unapata wapi hisia na Nyegee kwe
Vichaa wasingekua wanazaa.Kuna nyuzi kibao humu JF watu wanadai walishindwa kutombaaa kwa sababu ya either mdomo kunuka, kumqa kunuka, vikwapa kunuka nk. Nawaza ni aina gani ya mtu anaweza kufanya hivyo. Hata nguvu ya kupiga bao za kuunganisha[emoji51]
Unapata wapi hisia na Nyegee kweli hapa kuna jambo nyuma ya pazia. .
Mzee vipi mbona unanishukia jumla jumla.Mambo ya kukufuru umeyajuaje kama sio umefundishwa huko kanisan kwenu??
Mambo ya mungu na shetan umeyatoa wapi kama sio kwny mafundisho ya kansani ambako mnatumia biblia kama backbone ya mafundisho yenu?
Ndio Nimegundua kumbe jamaa wanaanza kwa Kasi Ila dakika za mwisho wanakuwa bize Ila mwanzo hawapo bize. Hata jack Daniel naye kule anajivuta mno na milango ya mafanikio. Yaani mwamba humu ni deepond tuUMUGHAKA tata umeamua kutunyoosha bwana...haki vile dozi imewaingia wapenda hadithi...kuna wengine wanasema kama unataka walipie wapo teyari kaka mkubwa
Ni kweli.....umaskini ni zaidi ya kinyaa..Kwa sababu maumivu ya umasikini yalizidi maumivu ya harufu Kali
Jack Daniels ana habari nyingine mkuu... Naomba unitag niende huko.. huyo pia yupo vizuri.Ndio Nimegundua kumbe jamaa wanaanza kwa Kasi Ila dakika za mwisho wanakuwa bize Ila mwanzo hawapo bize. Hata jack Daniel naye kule anajivuta mno na milango ya mafanikio. Yaani mwamba humu ni deepond tu
Kibaya mno mkuu. Yaani masikini unanyanyapaliwa kuliko hata kinyesiNi kweli.....umaskini ni zaidi ya kinyaa..
kumbuka alikuwa hajaenda chumbe kuingizwa rasmi kwenye chama,ukimtembelea ndugu yako kwa mara ya kwanza,mbwa wake atakukimbiza,lakini ukihamia kwake,mbwa wake anakuzoea na kukupenda....Cha ajabu wakati Master anaambiwa awe anachukua 50,000 ya kuhemea makabeji,Farah alianza kuuliza kuwa mbona kila siku unachukua 50,000 mnabiashara gani na Ally
Nguvu ya pesa watu wanashindwa kwa kuwa hakuna kitu kinainfluence ni starehe tu, lakini kwa hii case cha kwanza ni utajiri kinachoangaliwa sio mbususu tu. Navyoelewa mhusika kavumilia kwa kuwa kwenye ndoto zake alikua anaota maisha kama ya Ally Mpemba.Kuna nyuzi kibao humu JF watu wanadai walishindwa kutombaaa kwa sababu ya either mdomo kunuka, kumqa kunuka, vikwapa kunuka nk. Nawaza ni aina gani ya mtu anaweza kufanya hivyo. Hata nguvu ya kupiga bao za kuunganisha😬
Unapata wapi hisia na Nyegee kweli hapa kuna jambo nyuma ya pazia. .
Na mchizi alielezwa kabisa kwamba huo uchafu ndo hela yenyewe, ila kachagua kutokuelewaNguvu ya pesa watu wanashindwa kwa kuwa hakuna kitu kinainfluence ni starehe tu, lakini kwa hii case cha kwanza ni utajiri kinachoangaliwa sio mbususu tu. Navyoelewa mhusika kavumilia kwa kuwa kwenye ndoto zake alikua anaota maisha kama ya Ally Mpemba.
Nadhani anataka aeleweshwe na mapaka wenzie weusiNa mchizi alielezwa kabisa kwamba huo uchafu ndo hela yenyewe, ila kachagua kutokuelewa
Mdarasinii huuEnzi hizo bado niko mdogo kuna tukio la ajabu sana liliitokea familia ya jirani yetu
Huyu jirani yetu alikuwa akifuga ng'ombe mmoja nyumbani kwake mwenye ukilema wa mguu mmoja na alikuwa akipendana nae sana kiasi cha kuzua ya kuzuriwa na majirani,sasa siku moja bwana mida ya kama saa 12 hivi asubuhi kikasikika kwake kilio cha mtu mzima aliyekuwa akilia kwa uchungu sana;
Sasa kwa kujiongeza tu tukajua lazima atakuwa kafiwa na ndugu,hivyo majirani wakakusanyika fasta kwake kumtia moyo(kumpa pole kwa kipagani),tulipofika pale kwake akawa ndio kazidisha kilio kwa lugha ya kitaa tunaweza kusema kuwa aliongeza volume mpaka mwisho
Basi bwana watu wakakaa kaa hapo,wazee wenzake akiwamo na baba yangu ambae ndio babu yenu kwa sasa wakawa wanamwambia atulize moyo sasa awaeleze ni kipi kimemkumba,akalia lia kama robo saa nzima kisha eti akatutaka radhi majirani zake kwa kutuamsha na vilio vyake na cha kushangaza akasema yeye hajapatwa na msiba wowote ila asubuhi alipokwenda chumbani kwa ng'ombe wake kumjulia hali kama afanyavyo siku zote kamkuta ng'ombe wake kipenzi hatuko nae tena Duniani.
Huwezi amini hazikupita hata siku tatu yule dingi akawa amedanja(kufa),tukamzika akaoza na kuwa udongo mpaka leo tunasubiria na sisi tufe tukamuulize ilikuaje wakapishana na ng'ombe(ngombhe kwa kihaya) wake siku 3 tu kufa au kulikiwa na siri fulani kubwa kati yake na ng'ombe wake