Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Mzee vipi mbona unanishukia jumla jumla.
Nimetoa kwenye masimulizi ya mtaani na humuhumu jf. Kwa nyuzi na maoni ya watu mbalimbali.

Ukiniambia mambo ya vifungu unanchanganya, mimi sijakalili kifungu hata kimoja.
Nakushukia jumla jumla?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anyway, hyo avatar yako huwa inanichekesha sana!! Afu nikiunganisha na hyo id yako unajiita "mtata"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu
 
UMUGHAKA TAKE CARE UNAWEZA KUPUNGUZA AUDIENCE PALE UNAPOKAA MUDA MREFU KUTOKA EPISODE MOJA MPAKA NYINGINE...

PSYCHOLOGICALLY MATAMANIO, UPENDO, TAMAA NA SHAUKU HUONGEZEKA TO THE ELASTIC LIMIT...IKISHAFIKA FIKA MWISHO HUPOROMOKA...

USIJE SHANGAA UNADONDOSHA EPISODE...ALAFU UKAPOKEA POOR RESPONSE KUTOKANA NA KUPUNGUA KWA AUDIENCE TOFAUTI NA ILIVYO HIVI SASA...

KITU KIREFU SANA NA KUCHUKUA MUDA MREFU ZAIDI HUPOTEZA MVUTO KADIRI MUDA UNAVYOZIDI KWENDA.

HII ITAATHIRI HATA UPANDE WAKO...KWA SABABU HATA WEWE KATIKA USIMULIAJI WAKO KUNA KITU UNAKIPATA NA KUKIPUNGUZA KWA UPANDE WAKO NI FAIDA VILEVILE...MWISHO WA SIKU NA WEWE INTEREST YA KUSIMULIA UTAPOTEZA KWA KUKOSA AUDIENCE...

HUJIULIZI KWANINI STORY ZINGINE HAZINA RESPONSE KAMA HII ULIYOPATA WEWE...ITS JUST BECAUSE TUNA EXPERIENCE NA STORY ZILIZOPITA ZILIISHA HARAKA...NA HII VILEVILE WE EXPECT ITAISHA HARAKA KAMA ZILE MBILI ZILIZOPITA...

OTHERWISE NA WEWE UTATUPOTEZA KAMA WENZAKO...ACHANA NA HUU UTARATIBU...ALIYEKUSHAURI HIVI KUWA WEEK AFTER WEEK HAKUPENDI NA HAKUTAKII MEMA...NA VILEVILE PENGINE ANAKUONEA WIVU KWA VILE ULIVYOTEKA AUDIENCE....FIKIRI...CHANGA KARATA ZAKO VEMA...
 
Taarifa Rasmi kwa fans wote wa UMUGHAKA

Storry itaendelea tarehe 15 mwezi wa 2 mwaka 2023 yaani siku moja baada ya Valentine's day.... Tumesimama kuendeleza Story baada ya kuona watu wengi kushinda humu na inawezekana mpaka sasa hivi hawajaandaa zawadi za kuwapa Baby zao...

Sisi kama Familia ya UMUGHAKA hatutaki lawama yoyote ndiyo maana tumewapa wiki tatu za kufanya kazi na kupata hela

ANGALIZO: Kuna watu wanapenda kutukana humu wanadhani na sisi hatujui matusi siku tukichafukwa humu hatuhitaji Lawama[emoji52][emoji52]
By: Msemaji wa Familia
UMUGHAKA Family
 
" Sasa leo nimeona niwaletee na niendelee na masimulizi ya maisha yangu ili kuwapa hamasa vijana wenzangu kuweza kupambana na kutokata tamaa mapema!,dhumuni la masimulizi yangu ni kutoa funzo kwa watu,na sipo hapa ili kujipatia fedha kwa njia ya ulagahai,mimi binafsi ninajiweza kwasababu ni mpambanaji na sihitaji hata mia mbovu ya walalahoi wenzangu!." Umughaka(2022)
 
KWANINI UMEANDIKA KWA HERUFI KUBWA?
 
Naona umemfokea kwa herufi kubwa kabisa mkuu. UMUGHAKA uje huku
 
Hahaha eeh bna mimi sio mtu wa misimamo mikali ya kidini coz najua mambo juu juu tu, ila mambo mengine mimi ni al shabaab niliekubuhu kwa misimamo.
Ukinishukia jumla jumla utateteresha imani yangu mkuu.
 
Uamuzi ni wako Kaka na Umughaka sio storyteller na Simulizi zake huwa hauizi. Kumbuka hakuna kitu kinachochukua muda kama uandishi na mtu hawezi kuacha chombo yake [emoji965]akae kukuandikia wewe story. Kuwa mvumilivu tu Mkuu. Akiwa na muda ataandika na kutuma humu. Simulizi ni yake na bando ni lake. Na hauizi kwa hiyo apoteze au asipoteze audience hilo ni juu yake.
 
Mbona kama hii chai imekolea Tangawizi? Au naiona Mimi TU!
 
Akipoteza audience anapata hasara gani katika maisha yake??
 
Unakomoa story hiyo au sio

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
 
Kumbe akipata response analipwa?
 
Bongo tatizo sana,yaan huyu jamaa na story zake za kufikirika baada ya kupata followers kidogo tuu basi tayari keshajiona superstar,analeta madeko kama mtoto wa kike....
Kama umeamua kuleta story lete na uhakikishe unamaliza,sio kuanza kuringa kama unaombwa maku wakati wew mtoto wa kiume,
Punguza madeko na maliza story na usilete story nyingine hapa kenge wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…