Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Nakubali
 
Kuna sehemu na wewe unaenda kusimulia eti ha ha ha
 
Basi akahadithie miti porini...kama hajali audience...
 
Hapangiwi na mtu kuhadithia...na sisi hatujamuomba aielete humu...

Kama alikuwa anaona hapati faida yoyote akahadithie ngedere porini...

Kama umeleta humu malizia...hutaki usilete kabisa...
 
Kama hapati hasara yoyote...aende akahadithie mbuzi huko au miti porini...
Upweke ni ugonjwa mbaya sana sasa kama wewe ukiisoma hii Simulizi unapata hasara au faida gani?
Kuondoa hiyo hasira kwa Umughaka kuto post Simulizi kama unavyotaka au kama wewe huwa unamlipa. Fanya hivi vuta pumzi mara 5 halafu anza kuitoa taratibu fanya hivyo mara nyingi uwezavyo. Utakaa sawa sio kulia lia tu humu. 😆😆😆😆😆
 
Huu ni uchawa...unaokusumbua...
 
Huu ndo upuuzi wa ngozi nyeusi vistory vitatu kashajiona super star kwasababu ushaona umateka fikra za watu hapa unapita kila siku unasoma comments unacheka tuu unaona unatukomoa fala wewe ungejua humu jamii forum kuna watu wanaweza kukudhamin ukachapisha vitabu ukawa umetoka kimaisha ila kwa dharau hizi huwezi kupata hata mdhamini fala wewe hata kama umetingwa na kazi sema watu wajue, from now am out na huu upuuzi endelea kudengua kama mtoto wa kike mbwa wewe. By the way sipo jobless nina kazi so watu msije sema sina kazi sema time kama hii nipo home nilikua napita kusoma story ya huyu kenge.
 
Kweli watanzania wengi tunaumwa magojwa ya akili.
 
Mbona mapovu mzee baba
 
Kulikuwa na ulazima gani wa kutuambia kuwa wewe sio jobless
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…