steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 10,643
- 12,247
NakubaliBongo tatizo sana,yaan huyu jamaa na story zake za kufikirika baada ya kupata followers kidogo tuu basi tayari keshajiona superstar,analeta madeko kama mtoto wa kike....
Kama umeamua kuleta story lete na uhakikishe unamaliza,sio kuanza kuringa kama unaombwa maku wakati wew mtoto wa kiume,
Punguza madeko na maliza story na usilete story nyingine hapa kenge wewe.