masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Nitakua nakutag no 22 nishaiona kitambo...naona uko bize nowmasai dada come please.
Ha ha umeongea kwa uchungu sana, una reason wapi wakati ushavaa bangiliKitu kingine ninachojiuliza wewe UMUGHAKA kwanini huwa huulizi maswali?? Wewe kila kitu ukiambiwa ni ndio tuu. Hata kama ni kiu ya utajiri wewe lazima una shida mahali.
Hivi serious unaambiwa umekosea inabidi utoe kafara ya kuua bila hata kujua outcome yake unakubali tuu sawa??
Hata kama yule dada hukuna na attachment nae still uma shida wewe.
Huulizi maswali hutaki kujua chochote zaidi ya kupelekeshwa tuu ndio maana tunaonekanaga wajinga kwa watu wachache kama nyie. You dont think, dont reason kabisa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Au bora Kupanda haisi tuuuu unajiona ufahari babee kakupakiza kwa ndinga lakee unaweka na kipepsi kabisa mwenyewe kumbe ulipokakaa ishawekwa dawaaa wanataka damu yakooo nyieeee🙌🙌🙌🙌!;Nasemajeeee Mimi huyu🙌🏼 teeeena🙌🏼 bora nichape lapa kutoka posta hadi mapinga. Ona rehema anaenda kufa kisa mserereko. Akhaa😂
Kosa la UMUGHAKA ....
Tutayajenga aisee nipo serious ujue na mmoja wapo. Nimekuwa obsessed sana [emoji4]Dada zangu hao nawaozesha
Mpaka anafikia huko kote ni kutofikiria kwake na kutokuwa na maamuzi. Mtu anaambiwa unisitiri anakubali haya bila hata kujua how atamsitiri. Fanya hiki au kile ni kukubali tuu haya.
Hata tamaa ya pesa kutanguliza mbele alizidi.
Ngoja tuone episode ijayo kama atachomoa au vipi maana hadithi zake mnachofikiria yeye anakuja kupangua inakuwa tofauti kabisa. Kama watu waliivyohisi maya kachukia master kulala na mwanamke mwingine kumbe sababu ni tofauti.
Wacha woga wewe!!!!!!!Mimi huyu nije kupanda lift za watu? Never🙌🏼
Kuna Mangi mmoja ana hela sana Makumbusho ana duka kubwa, Mwananyamala ana maduka mawili ya rejareja yamejaa full, Kinondoni ana duka na Manzese ana maduka mawili ya Hardware. Sijawahi kumuona amevaa viatu ni Kanda mbili na baiskeli kila nikimuona na simu yake ni Nokia 105 ya miaka 14 iliyopita imefungwa na rababendi. Aisee kwa mujibu wa Wambeya Jamaa huwa anaenda Pemba kwa Mtaalamu kila mwezi.Hili ni kweli, utajiri wa masharti tumeona watu wana kwepa, kwa njia hiyo. Kuna matajiri wengi wakubwa mzee hawatumii magazine hapa mjini ? wengine hawali vizuri. kama ingekuwa ni real asingetumia gari mkenge wa rehema asinge uvaa
Niache😅Wacha woga wewe!!!!!!!
Moyo huu ndio una shida sana sio Sisi binadamu. Natamani IPhone 15 wakati hata Kibarua Sina [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yatupasa kuwa makini sana, binaadamu hawaaminiki
Pole sana hakuna jambo linalodumu. Kila kitu ni cha kupita. Kuwa na mawazo chanya na usikubali kupokea vitu ambavyo hujavifanyia kazi. Yaani kama wewe ni Mkristo kuna Verse ya Bible kitabu cha Hebrew 13:5 kina maneno mazuri. Yanasema Keep away your life from love of money and be content with what you have as he said I will never fail nor forsake you.Acha tu