Huyu toka enzi za monica hataki kujishughulisha kufikiria, ukisoma hata ile hadithi alikuwa anafanya kila anachoambiwa hata haulizi atakwambia tuu "nilijiuliza sana bila kupata majibu nikakaa kimya" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Kwahiyo ile bangili sio sababu bali ni tabia yake mkurya huyuHa ha umeongea kwa uchungu sana, una reason wapi wakati ushavaa bangili
🤣🤣🤣🤣dah huna gari mkuu?Mimi huyu nije kupanda lift za watu? Never🙌🏼
Ndio udhaifu wa wake huoHuyu toka enzi za monica hataki kujishughulisha kufikiria, ukisoma hata ile hadithi alikuwa anafanya kila anachoambiwa hata haulizi atakwambia tuu "nilijiuliza sana bila kupata majibu nikakaa kimya" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Kwahiyo ile bangili sio sababu bali ni tabia yake mkurya huyu
Kalpana na To yeye jamani dada zangu nmewatafutia mchumba.Tutayajenga aisee nipo serious ujue na mmoja wapo. Nimekuwa obsessed sana [emoji4]
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
SawA tu hata apate ahueni🤣🤣🤣Ila mwambie keshokutwa nikipata newbae anaachwa🤗
Ooh kumbe sawa,muulize kama yeye ni msukuma,mie ndo nipo interest nao now days 🥰SawA tu hata apate ahueni
Ndio si unaona jina lilivo gumu huyo wa kule kwetu kabisa.Ooh kumbe sawa,muulize kama yeye ni msukuma,mie ndo nipo interest nao now days 🥰
💕Jina Lina maana ipi cute?Ndio si unaona jina lilivo gumu huyo wa kule kwetu kabisa.
Kampeni Manager Asante kwa kutoa dokezo lako. Utaratibu mwingine nitakupa mwenyewe next weekend. [emoji16][emoji16][emoji16]
Asante sanaKampeni Manager Asante kwa kutoa dokezo lako. Utaratibu mwingine nitakupa mwenyewe next weekend. [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Aisee ni kweli kabisa[emoji106]Manyanza mchumba huyu hapa umepata mfuate PM tafadhali.
Manyanga😂😂😂😂 Sijui hata💕Jina Lina maana ipi cute?
🤣🤣🤣 Manyanza bhanaManyanga😂😂😂😂 Sijui hata
Hahahahaha sio haraka hovyo aisee. Vumilia kwanza akija huyo mwingine muweke pembeni kwanza.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila mwambie keshokutwa nikipata newbae anaachwa[emoji847]
Sawa baba nitafanya ivoHahahahaha sio haraka hovyo aisee. Vumilia kwanza akija huyo mwingine muweke pembeni kwanza.
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
The real Sukuma from IkungulyambeshiOoh kumbe sawa,muulize kama yeye ni msukuma,mie ndo nipo interest nao now days [emoji3059]