Mbaya kutolewa kafara wakati Yesu alishatolewa kwa ajili yako.Kufa kupo tu,ila kupokea pesa Kwa mume wangu au mpenz wangu si vibaya
Sawa,nakuelewa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mood ya wiki end hii. Though sio Kimasihara lakini.
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Mungu wangu nimtumikiaye hawez ruhusa mume wangu aniangamizeMbaya kutolewa kafara wakati Yesu alishatolewa kwa ajili yako.
Hakika yaani usipotanguliza tamaa huwezi ingia kwenye mtego wa mautiMungu wangu nimtumikiaye hawez ruhusa mume wangu aniangamize
Utayakanyaga vipi wakati moyo nimeshauambia Tulia mjini kuna vya watu?Unaenda huko unayakanyaga unaambiwa umtoe!
Sio kwamba hajiulizi ana roho nzuri ya kutomkatisha mtu tamaa au kuvunja urafiki aliambiwa tutumie silaha kwenye ujambazi rafiki akakubali na yeye, akakubali urafiki usife, akamkalisha ray siti ya mbele mara ya pili ili ray asijisikie vibayaHuyu toka enzi za monica hataki kujishughulisha kufikiria, ukisoma hata ile hadithi alikuwa anafanya kila anachoambiwa hata haulizi atakwambia tuu "nilijiuliza sana bila kupata majibu nikakaa kimya" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Kwahiyo ile bangili sio sababu bali ni tabia yake mkurya huyu
cool down mkuu cool downChating za upuuzi zinaendelea humu. Nyie member wa MMU nendeni mkachati huo upuuzi wenu huko MMU. Unakuta uzi unatembea unajua jamaa kapandisha uzi inakutana na chats za kipuuzi. Mnaboa nyie na mnaharibu uzi wa watu. Hayo matano yenu ya ngono na zinaa nendeni kule MMU Wapuuzi nyie. Mnatukwaza nyie sio wote tuna interest na huo upuuzi wenu. Jitahidini muwe mna hekima.
Jina gumu kama mawe ya mwana marundi.ππππ nisamee bure lkn mke ushapataManyanga ni Wachaga hao na wewe Kampeni Meneja unikwama wapi? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Hapana bwana, mnaboa nyie wapuuzi wa MMU. Huoni kama mnachafua uzi wa watu? Nendeni kule mkachati mpendavyo mnatuboa wengine.cool down mkuu cool down
Jina gum kama alkasusπ€£π€£π€£ Manyanza bhana
Mnaboa nyie nendeni mkachati huu upuuzi wenu kule MMU. Hivi hamuoni aibu wala kujishtukia kama mnaboa wengine? Hakuna umuhimu wa sisi kutujumlisha wala kutushirikisha hizi chats zenu za ngono na midhaa.Jina gumu kama mawe ya mwana marundi.ππππ nisamee bure lkn mke ushapata