Mkuu kwema, leta muendelezoHello
Wakuuu kwema?,mnaendeleaje humu ndani?
Niwatakie wakristo wote wanaosherehekea Christmas HERI YA CHRISTMAS na niwaombe mshehekee kwa kumtukuza Mungu na siyo kuitukuza Anasa na kuipatia dhambi sifa!.
Bado sijapata mualiko ndugu zangu.
HeeImeishia hapo mkuu
Kwa nini broMuendelezo hakuna mkuu
Au labda acc yake imehakiwa na li mpwayungu village & li VIKITIMItakua anatania tu hajawai kuwa mzinguaji
Karibu Sana Huku Nakapanya, tunduru tuinjoy ChristmasMkuu nipe mualiko kesho niwe mgeni wako
Nakapanya kwa Akina ManambaKaribu Sana Huku Nakapanya, tunduru tuinjoy Christmas
Kwanini hakuna muendelezo mkuu?? Mbona hata maudhui ya tittle hatujayafikia??Muendelezo hakuna mkuu
Nataman wakufungie comment mpaka utupe muendelezoππππMkuu nipe mualiko kesho niwe mgeni wako
Muendelezo hakuna mkuu
Natania mkuuKwanini hakuna muendelezo mkuu?? Mbona hata maudhui ya tittle hatujayafikia??
Sent using Jamii Forums mobile app