Ditex
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 284
- 887
Mkuu kwema, leta muendelezoHello
Wakuuu kwema?,mnaendeleaje humu ndani?
Niwatakie wakristo wote wanaosherehekea Christmas HERI YA CHRISTMAS na niwaombe mshehekee kwa kumtukuza Mungu na siyo kuitukuza Anasa na kuipatia dhambi sifa!.
Bado sijapata mualiko ndugu zangu.