Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Ndugu zangu leo nimeona nipite nitanie kidogo! Na kuwatakia heri ya Christmas na Mwaka Mpya!.


Simulizi ndiyo kwanza hata haijaanza wakuu!
ila nimegundua sehemu kubwa ya masimulizi yako umughaka,ni matukio ya kweli,yaani maisha uliyopitia,tofauti na wengi wanavyodhani,kama no kachumbari unaongezea kidogo sana,siku hizi za kimtandao hadithi za kutunga hazisisimui sana watu,sababu wanaona matamthilia makali,yaliyopangiliwa kwa ustadi kwenye tv channel,lakini mambo yaliyomtokea mtu kweli,siku zote husisimua tu...big up umughaka....
 
baby zu bora ningekusikiliza hivi huyu zuu kakosa jina lingine had atumie la Zuu?
 
Huyu gym labda akatengeneze hips. Yaani amenishangaza sana. Nikasema wanawake wa dar wana mahaba ya kitapeli. Eti analia na alitaka kuuliwa kwa pressure? Daaah.... Hii Dunia imeisha.
Sikuhizi kushinda sana gym ndo dalili ya kwanza ya mwanaume kuharibika , ukiona msela anakomaa sana na gym anaacha mambo ya msingi mpige marufuku ataanza kulamba lips asubiri kulelewa na wamama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…