Nimeeleza vizuri we soma uelewe,pia ujuaji wa wapumbavu wengi humu niliamua kuikatisha ili nisipoteze muda wangu kwa wapumbavu ambao silipwiHivi yule dada alikuwa anakufuata kwako, ukidhani ni yule dada wa dukani kumbe siyo, alikuwa nana?
Kila la kheri mkuuNiogope nini mkuu?
Nimefanya mambo mengi na makubwa ya hatari siwezi kuogopa,pia ni mtu niliyekuwa nae sema kupishana tu ndiyo kulitutenganisha!.
Sawa, tunangojaPamoja sana mkuu nitakujuzeni nini kimejiri
TunasubiriWiki iliyopita nikiwa kwenye pilikapilika zangu za Bodaboda kuchukua mzigo wa mteja wangu pale Kkoo,nikakutana na dada mmoja ambaye tulifahamiana wakati nikiwa nafanya kazi za Ally Mpemba,sasa baada ya kuonana kama mjuavyo kwakuwa ilikuwa ni muda mrefu tukabadilishana namba za simu.
Sasa jana mida ya saa 5 usiku kuna mtu akanipigia simu ikiwa ni namba ngeni ambayo haikuwa kwenye moja ya watu niliowasevu,baada ya kuipokea ndipo kumbe alikuwa Brother Ally Mpemba.
Daaah!,nilipigwa na butwaa kwasababu sikuwa na namba yake na yeye hakuwa na namba yangu,nilipomuuliza kaipata wapi namba yangu kaniambia kapewa na yule dada na hiyo ni baada ya wao kupiga stori.
So,jamaa kaniambia leo 23.3.2023 tuonane kuna mambo ya msingi tuzungumze.
Nitaonana nae na nitawajuza
Usiendee Mkuu.Wiki iliyopita nikiwa kwenye pilikapilika zangu za Bodaboda kuchukua mzigo wa mteja wangu pale Kkoo,nikakutana na dada mmoja ambaye tulifahamiana wakati nikiwa nafanya kazi za Ally Mpemba,sasa baada ya kuonana kama mjuavyo kwakuwa ilikuwa ni muda mrefu tukabadilishana namba za simu.
Sasa jana mida ya saa 5 usiku kuna mtu akanipigia simu ikiwa ni namba ngeni ambayo haikuwa kwenye moja ya watu niliowasevu,baada ya kuipokea ndipo kumbe alikuwa Brother Ally Mpemba.
Daaah!,nilipigwa na butwaa kwasababu sikuwa na namba yake na yeye hakuwa na namba yangu,nilipomuuliza kaipata wapi namba yangu kaniambia kapewa na yule dada na hiyo ni baada ya wao kupiga stori.
So,jamaa kaniambia leo 23.3.2023 tuonane kuna mambo ya msingi tuzungumze.
Nitaonana nae na nitawajuza
NaamWiki iliyopita nikiwa kwenye pilikapilika zangu za Bodaboda kuchukua mzigo wa mteja wangu pale Kkoo,nikakutana na dada mmoja ambaye tulifahamiana wakati nikiwa nafanya kazi za Ally Mpemba,sasa baada ya kuonana kama mjuavyo kwakuwa ilikuwa ni muda mrefu tukabadilishana namba za simu.
Sasa jana mida ya saa 5 usiku kuna mtu akanipigia simu ikiwa ni namba ngeni ambayo haikuwa kwenye moja ya watu niliowasevu,baada ya kuipokea ndipo kumbe alikuwa Brother Ally Mpemba.
Daaah!,nilipigwa na butwaa kwasababu sikuwa na namba yake na yeye hakuwa na namba yangu,nilipomuuliza kaipata wapi namba yangu kaniambia kapewa na yule dada na hiyo ni baada ya wao kupiga stori.
So,jamaa kaniambia leo 23.3.2023 tuonane kuna mambo ya msingi tuzungumze.
Nitaonana nae na nitawajuza
Tupe mrejesho maana tuna kihehere sisiWiki iliyopita nikiwa kwenye pilikapilika zangu za Bodaboda kuchukua mzigo wa mteja wangu pale Kkoo,nikakutana na dada mmoja ambaye tulifahamiana wakati nikiwa nafanya kazi za Ally Mpemba,sasa baada ya kuonana kama mjuavyo kwakuwa ilikuwa ni muda mrefu tukabadilishana namba za simu.
Sasa jana mida ya saa 5 usiku kuna mtu akanipigia simu ikiwa ni namba ngeni ambayo haikuwa kwenye moja ya watu niliowasevu,baada ya kuipokea ndipo kumbe alikuwa Brother Ally Mpemba.
Daaah!,nilipigwa na butwaa kwasababu sikuwa na namba yake na yeye hakuwa na namba yangu,nilipomuuliza kaipata wapi namba yangu kaniambia kapewa na yule dada na hiyo ni baada ya wao kupiga stori.
So,jamaa kaniambia leo 23.3.2023 tuonane kuna mambo ya msingi tuzungumze.
Nitaonana nae na nitawajuza
Omughaka kiongozi wangu habari za siku nyingi ndg yangu [emoji120]Wiki iliyopita nikiwa kwenye pilikapilika zangu za Bodaboda kuchukua mzigo wa mteja wangu pale Kkoo,nikakutana na dada mmoja ambaye tulifahamiana wakati nikiwa nafanya kazi za Ally Mpemba,sasa baada ya kuonana kama mjuavyo kwakuwa ilikuwa ni muda mrefu tukabadilishana namba za simu.
Sasa jana mida ya saa 5 usiku kuna mtu akanipigia simu ikiwa ni namba ngeni ambayo haikuwa kwenye moja ya watu niliowasevu,baada ya kuipokea ndipo kumbe alikuwa Brother Ally Mpemba.
Daaah!,nilipigwa na butwaa kwasababu sikuwa na namba yake na yeye hakuwa na namba yangu,nilipomuuliza kaipata wapi namba yangu kaniambia kapewa na yule dada na hiyo ni baada ya wao kupiga stori.
So,jamaa kaniambia leo 23.3.2023 tuonane kuna mambo ya msingi tuzungumze.
Nitaonana nae na nitawajuza
kumekuchaWiki iliyopita nikiwa kwenye pilikapilika zangu za Bodaboda kuchukua mzigo wa mteja wangu pale Kkoo,nikakutana na dada mmoja ambaye tulifahamiana wakati nikiwa nafanya kazi za Ally Mpemba,sasa baada ya kuonana kama mjuavyo kwakuwa ilikuwa ni muda mrefu tukabadilishana namba za simu.
Sasa jana mida ya saa 5 usiku kuna mtu akanipigia simu ikiwa ni namba ngeni ambayo haikuwa kwenye moja ya watu niliowasevu,baada ya kuipokea ndipo kumbe alikuwa Brother Ally Mpemba.
Daaah!,nilipigwa na butwaa kwasababu sikuwa na namba yake na yeye hakuwa na namba yangu,nilipomuuliza kaipata wapi namba yangu kaniambia kapewa na yule dada na hiyo ni baada ya wao kupiga stori.
So,jamaa kaniambia leo 23.3.2023 tuonane kuna mambo ya msingi tuzungumze.
Nitaonana nae na nitawajuza
Nzuri mkuuOmughaka kiongozi wangu habari za siku nyingi ndg yangu [emoji120]
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app