Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Mtu umekabidhiwa audi mpya halafu unakwenda kujitongozesha kwa muuza juice kweli likurya ni likurya tu hata lijiite umughaka(lizee).Hili mwisho wake naliona likienda kudhulumiwa maharage lililoenda kulima huko kwa wanakyusa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Za Mzee wetu JBourne59 zimekushinda kabisa?????
 
Mkuu CHIBA One Nashukuru sana
Kiongozi you’re simply THE legend! Mpangilio wa story yako ni mzuri sana. Make something out of this talent kaka. You can do it.

ila swali la kizushi kaka, hii ni story imaginary au ilikutokea au uli Experience baadhi ya mambo na umeunganisha? Whatever the case, uko vizuri sana.
 
Mkuu mpaka sasa nipo napambana na maisha haya,siyo ya kubumba
 
Fanya mengine hata sie tumechoka kusoma pumba zako boss jikatae tu na ujue hakuna fanani bila hadhira kama ulifanikiwa kuona milango ya madarasa utakua unajua. Kaa nazo jisimulie mwenyewe humu kuna vingi vyenye sense vya kusoma sio uongo wako
Ona mbwa huyu [emoji35][emoji35]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Ndio maana nasoma story tu. Siangaliagi comment zenu sipend matusi mnayoandika
 
Fanya mengine hata sie tumechoka kusoma pumba zako boss jikatae tu na ujue hakuna fanani bila hadhira kama ulifanikiwa kuona milango ya madarasa utakua unajua. Kaa nazo jisimulie mwenyewe humu kuna vingi vyenye sense vya kusoma sio uongo wako
Wewe jamaa Ni mshari, si muungwana, umejawa na dharau. Badilika
 
Ila UMUGHAKA kuna sehemu umetupiga changa.
Ulituambia mbele ya safari ungekuja kutusimulia yaliyompata yule baba yako mdogo na kifo chake lakini picha ukalimalizia Kariakoo
 
Nakazia
 
Usini taje mama .staki wanijue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…