Anajitahidi sana kwa kweli
Uandishi ni pamoja na mpangilio mzuri wa matukio
Pia mvuto wa stori.
Mimi hii stori ni stori yangu ya tatu kusoma hadi mwisho.
Ya kwanza ilikuwa ya
Mshana Jr ,A day in Buddhist college
Nyingine ya
LwandaMagere
Huyu kwa kiasi kikubwa ni kama anaendana na Umughaka kwenye uandishi wake
Sijui ndio kipaji Cha watu wa Kanda ya ziwa[emoji23]
Ya tatu ni hii.
Stori nyingine nimejaribu kusoma ila sikuweza kumaliza hata episode mbili.
Kwa kweli mimi binafsi hadi nimesoma stori yote nimaliza basi mwandishi ni genius sana.
Pia napenda stori za ukweli,siyo hadirhi za kutunga.