Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Mtu umekabidhiwa audi mpya halafu unakwenda kujitongozesha kwa muuza juice kweli likurya ni likurya tu hata lijiite umughaka(lizee).Hili mwisho wake naliona likienda kudhulumiwa maharage lililoenda kulima huko kwa wanakyusa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Samahani unaweza kushare hiyo ya Mshana Jr a day In Buddhist college
Alivyokuwa na nyuzi nyingi
=
1680191621868.png
 
Anajitahidi sana kwa kweli
Uandishi ni pamoja na mpangilio mzuri wa matukio
Pia mvuto wa stori.

Mimi hii stori ni stori yangu ya tatu kusoma hadi mwisho.
Ya kwanza ilikuwa ya Mshana Jr ,A day in Buddhist college

Nyingine ya LwandaMagere
Huyu kwa kiasi kikubwa ni kama anaendana na Umughaka kwenye uandishi wake
Sijui ndio kipaji Cha watu wa Kanda ya ziwa[emoji23]

Ya tatu ni hii.

Stori nyingine nimejaribu kusoma ila sikuweza kumaliza hata episode mbili.

Kwa kweli mimi binafsi hadi nimesoma stori yote nimaliza basi mwandishi ni genius sana.
Pia napenda stori za ukweli,siyo hadirhi za kutunga.
Za Mzee wetu JBourne59 zimekushinda kabisa?????
 
Mkuu CHIBA One Nashukuru sana
Kiongozi you’re simply THE legend! Mpangilio wa story yako ni mzuri sana. Make something out of this talent kaka. You can do it.

ila swali la kizushi kaka, hii ni story imaginary au ilikutokea au uli Experience baadhi ya mambo na umeunganisha? Whatever the case, uko vizuri sana.
 
Mkuu mpaka sasa nipo napambana na maisha haya,siyo ya kubumba
 
Fanya mengine hata sie tumechoka kusoma pumba zako boss jikatae tu na ujue hakuna fanani bila hadhira kama ulifanikiwa kuona milango ya madarasa utakua unajua. Kaa nazo jisimulie mwenyewe humu kuna vingi vyenye sense vya kusoma sio uongo wako
Ona mbwa huyu [emoji35][emoji35]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Ndio maana nasoma story tu. Siangaliagi comment zenu sipend matusi mnayoandika
 
Fanya mengine hata sie tumechoka kusoma pumba zako boss jikatae tu na ujue hakuna fanani bila hadhira kama ulifanikiwa kuona milango ya madarasa utakua unajua. Kaa nazo jisimulie mwenyewe humu kuna vingi vyenye sense vya kusoma sio uongo wako
Wewe jamaa Ni mshari, si muungwana, umejawa na dharau. Badilika
 
Ila UMUGHAKA kuna sehemu umetupiga changa.
Ulituambia mbele ya safari ungekuja kutusimulia yaliyompata yule baba yako mdogo na kifo chake lakini picha ukalimalizia Kariakoo
 
Okay shukrani sana, imekaa vizuri kama.ulitumia code

Matajiri wapo humu asikwambia mtu, kuna mmoja niliunda nae urafiki humu tukawa tunataniana, ajabu siku tulipokutana nilibak mdomo wazi

Nimkitaja nadhani 75% ya watu wanamjua au wameshamuona kwenye TV au vyombo vingine vya habari
Nakazia
 
Usini taje mama .staki wanijue
 
Back
Top Bottom