Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Nakadori episode 2 imefikaMuch thanks kwa kuniita
Am humbled 🙏 (in lemutuz voice)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakadori episode 2 imefikaMuch thanks kwa kuniita
Am humbled 🙏 (in lemutuz voice)
We Mimi nilikuwa bega kwa bega mpaka zile pesa zilivyoisha....nilitamani Sana ziwe zangu😁😁Ahahahaha.
Ile stori yake ya fedha bandia ndefu sana.
Mimi niliishia pale mgahawani huko Kenya. Sijui kiliendelea nini.We Mimi nilikuwa bega kwa bega mpaka zile pesa zilivyoisha....nilitamani Sana ziwe zangu😁😁
We si utambae kwenye topic zingine,Ameona muda watu wameanza msahau ndo kaona tena atoke vipi....😂
Ushatobolewa na ID yako nyingine? Siku hizi umejua hata kuwa na multiple IDs...😂We si utambae kwenye topic zingine,
Au unatafuta kutobolewa
Ndugu wengine huwa kama vichaa wa masaa.Hii story imenikumbusha mara ya kwanza mimi kufika dar
kUna kaka angu mtoto wa baba mkubwa aliwah kuja kuishi kwetu kijijin mikoani alikaa muda mrefu sana na pale nyumbani kwetu walimtunza vizuri sana,nakumbuka hadi mama angu alikuwa anamfulia nguo
Sasa kuna kipindi nilkuwa nipo chuo morogoro,nilkuwa nikipata likizo narudi nyumbani kanda ya ziwa,sasa wakati fulani huyo kaka akawa ananipigia simu mara kwa mara na kunisihi siku nyingine nikiwa na likizo niende kwao dar badala ya kwenda huko mbali kanda ya ziwa
nIlipopata likizo nikamtaarifu kuwa siku fulani nitakuja,siku napanda gari nikiwa msamvu nikampigia akaahidi kunipokea,safari ikaanza,nimefika mlandizi napiga simu haipatikani,piga sana haipatikan,bahat nzuri kuna jamaa yangu nilisoma nae o level alikuwa nae yupo dar nae alikuwa ananiomba sana niende dar siku nikipata nafasi,kwahyo kwenda dar nilipata msukumo kutokana na watu wawili
Nilivyokaribia kabisa kufika bila kufanikiwa kumpata huyo kaka angu ikabidi nimpigie dada angu wakati huo alikuwa ni mwanachuo ifm ila akawa anaishi kigamboni,jamaa yangu niliesoma nae olevel yeye kila wakati alikuwa ananipigia simu kuniuliza nimefika wapi,kwahyo dada angu ikabid aje ubungo kunipokea pia jamaa yangu pia alikuwepo,jamaa yangu alikuwa akiishi tabata kimanga na kwa baba mkubwa ni tabata shule,kwavile nilipata mwenyeji wa tabata ikabid dada awahi chuo akaniacha na jamaa yangu ila ikabidi ampigie mama mkubwa kumjulisha ujio wangu pia akamwambia mbona simu ya kaka angu haipatikani,kaka angu kuambiwa ndo akaiweka simu hewani
Tumetoka ubungo tumefika tabata shule tukashuka tukategemea kaka tutamkuta kituoni lakin hatukumkuta ikabid tuanze kumpigia simu ilituchukua kama dk 30 kumsubiri,wakat kutoka kituo cha daladala mpaka nyumban hata sio mbali,basi alivyofika tukaongozana nae mpaka nyumban,yeye mbele mimi na jamaa yangu nyuma na begi letu.
Nilikaa pale kwa baba mkubwa kwa wiki 3 lakin niliona ni kama nimekaa miezi 6
We jamaa una wivu sana kila thread za omughaka unakujaga kumkandia ila ndio hivyo hueleweki jamaa anazidi kupiga bao, ukiona story zake za uongo siuache unawashwa nini sasa mtoto wa kiume?Ushatobolewa na ID yako nyingine? Siku hizi umejua hata kuwa na multiple IDs...[emoji23]
Nimeishia hapaWe jamaa una wivu sana kila thread za omughaka unakujaga kumkandia ila ndio hivyo hueleweki jamaa anazidi kupiga bao, ukiona story zake za uongo siuache unawashwa nini sasa mtoto wa kiume?