Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Labda benki hujawahi kwenda, benki kuna foleni unaweza kukaa hata masaa 3, kisha kuhesabu hizo hela kwa tela ukatumia tena karibu lisaa. Sasa kwa watu walivyo busy Dar masaa 3 ni muda mrefu sana.

Halafu kwa maelezo ni kuwa milioni 40 haikuwa hela kubwa kwa huyo jamaa ni kama unavyoiona laki 5 kwako
 
Labda hakupenda yule dada ajue namba yake ya AC
 
Pesa za wahindi na waarabu mpaka azishike mkononi, au zishikwe na mtu wake ndo zipelekwe bank. Nilifanya kazi kwa wahindi muda mrefu, tukalazimisha kuwa tumechoka kupewa hela mkononi tunataka mishahara ipitie bank, matokeo yake, mhasibu anaenda bank kuchukua mshahara, anakuja na hela ofisini, zinasomewa kisomo, halafu zinapelekwa benki ili tulipwe mishahara...
 
Yawezakana pia mpemba alikua anampima muraa
 
Hapo wafanyakazi maendeleo mtayasikia Tilonda
 
Ukiaminika na boss ni kitu simple tu hicho. Mimi mwenyewe nilikuwa natumwa na pesa zaidi ya hizo kwenda kubadilisha ziwe dollars kabla Magu hajaingilia suala la foreign currency exchange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…