mshakamshaka
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 355
- 647
Achana nao kamanda wangu wanatucheleweshea story tu haoMkuu ninaposema huyu anautindio wa ubongo take it serious,is not a joke!
Jamaa anasema mnafahamiana uraiani ni kweli?Mkuu ninaposema huyu anautindio wa ubongo take it serious,is not a joke!
Taarifa ilitolewa uwe unafuatilia kwa umakini kama upo kwenye pepaKumbe wakati tunahangaika hapa jana kusubiria story kumbe wewe ulikuwa unazurura mitaani huko kushangaa shangaa😡😡. Hii tabia sio nzuri, ungesema watu waendelee na mambo mengine.
Wewe ndugu Chizi Maarifa utakuwa na matatizo, mbona kwenye thread zako hakunaga mtu anaekuja kukuzonga kama jinsi wewe unavyofanya kwa Master UMUGHAKA, kujuana nje ya Jf isiwe sababu ya kuja kumsakama hivi mwenzio, mbona wengi tu tunafahamiana nao nje ya hapa lakini tunaweka heshima kwenye thread zao.Ally Mpemba unamfahamu unawafahamu wapemba? Haya nisiseme sana.
Hii "li" inaonesha ni kama una personal conflict with this guyMuda si mrefu litaibuka na kututaarifu kuwa limekuta Gabi kafa gerezani
Nadhani hili la kuzonga waandishi sio jambo zuri.mwandishi halazimishwi popote pale kumalizia hadithi yake.nyingi ya hadithi au story zenye mwendelezo humu JF ni vizuri msomaji ukawa unajiandaa kisaikolojia kwa lolote lile.pia nyingi ya hadithi za humu JF ni hadithi kama hadithi zingineWewe ndugu Chizi Maarifa utakuwa na matatizo, mbona kwenye thread zako hakunaga mtu anaekuja kukuzonga kama jinsi wewe unavyofanya kwa Master UMUGHAKA, kujuana nje ya Jf isiwe sababu ya kuja kumsakama hivi mwenzio, mbona wengi tu tunafahamiana nao nje ya hapa lakini tunaweka heshima kwenye thread zao.
Imeshasemwa sana mambo ya humu usiyachukulie u serious sana, ukiona jambo limeletwa na mwenzio lakini hujalipenda si unapita kimya kimya tu kwani kuna haja gani ya kuja kutuonesha jinsi usivyompenda
Oya mwenetu mbona unaleta pigo sio, sie wapemba hatujamind. Au wenzio washaanza kukunaniliu??Ally Mpemba unamfahamu unawafahamu wapemba? Haya nisiseme sana.
Ni kweli kabisaNadhani hili la kuzonga waandishi sio jambo zuri.mwandishi halazimishwi popote pale kumalizia hadithi yake.nyingi ya hadithi au story zenye mwendelezo humu JF ni vizuri msomaji ukawa unajiandaa kisaikolojia kwa lolote lile.pia nyingi ya hadithi za humu JF ni hadithi kama hadithi zingine .sio vizuri kumzonga mwandishi aandike ukweli wakati ni story tu.
Man kama unamjua si uweke📸? Halafu waliokutana nae Mbeya wataverify, case closed😎Sawa. Nadhani Mpemba alikuharibu sana. Sawa mi nashukuru tu. Ila waambie yote. Usibakize kitu.
Mkuu kama wewe unawafahamu bila shaka unachohisi walimfanyia jamaa watakuwa washakufanyia wewe saaana maana unasema umehusika na kukaa kwake mjini kwaio kila alilofanyiwa bila shaka ulimtangulia 😅😅😅Ally Mpemba unamfahamu unawafahamu wapemba? Haya nisiseme sana.
Get a LIFESawa. Mi wala sina maneno mengi... Aendelee na kuwachafua wapemba.
Basi ndo maanMimi Mtanzania.
Mkuu acheni malumbano wewe shush uzi.!Ungenifundisha bila shaka ningekuwa na utindio wa Ubongo zaidi yako.
Ulianzisha uzi wako kule kwa kunitaja ila shukuru kwa bahati nzuri huwa sijibu watu wasio kuwa na akili timamu,nakujibu hapa kwasababu umekuwa ukijipendekeza kwangu sijui unachotaka ni kitu gani,kwanini usipambane na nyuzi zako?