Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,287
Afu mjue nae chizi maarifa kaanza kujitwalia umaarufu mnavyomsakama ebu jaribuni kumpiga chini na upuuzi wake. Maana mnampa Ustar asioustahili kabisa,yaani anapata u-star kwa jasho la UMUGHAKA. Hii sio sawa