Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

No mimi siwezi mind kuitwa sina akili. Mimi si ni CHIZI umeona ID yangu? So nafurahi kuitwa hivyo. Nimesikitika tu kuwa yeye nawa tumempokea leo anajioona mjanja....🤣
Mkuu hata harmonize alipokelewa na boss wa wcb na boss akizubaa anapelekewa moto na mnyama pori wa tandahimba kukubali kushindwa napo ni ushindi unless otherwise utapigwa home and away unapigwa kwenye nyuzi na unashindwa kwenye kukubali kwamba mwamba kakuachia vumbi
 
Sehemu ya :17

Baada ya kuwasiliana na bwana ally mpemba, niliamua kuelekea bafuni kwa ajili ya kuusafisha mwili, hii ni kutokana na uchovu niliokuwa nao.

nilibeba ndoo ndogo iliyokuwa na maji ndani yake,basi baada ya kufika bafuni nilianza kuvua nguo zangu taratibu, nikianza na t-shirt,suruali na kumalizia na pensi yangu nyeusi.

ghafla niligundua kuwa nimesahau sabuni ndani ya chumba changu, ila nilipuuzia kwa kusema kama nimezoea kuoga ziwani basi maji ya wanaume wa dar hayawezi nishinda.

Kabla hata ya kujimwagia maji mwilini ,kilitokea kitendo Cha kushangaza ambacho mpaka leo siwezi kukielewa??

Ile bangili niliyokuwa nimepewa na mganga, ilichomoka mkononi pasipo ridhaa yangu, nilitoa macho Kama mjusi aliyebanwa na mlango, kutokana na kutoamini kilichotokea

Nikiwa katika mshangao, nilisikia sauti nzito ikisema "we umuuuuuu leo umeyakanyaga, yaani umeamua kui delete mizimu??

Nilianza kuchezea makofi ya usoni na mgongoni, nikajiwazia haya yote yasingetokea Kama ningemuoa monica, sijui yuko wapi mchawi yulee??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
you would have said this earlier than now coz uv been here just commenting otherwise yes hujashauriwa na mtu lakini hujiletei ww unatuletea sisi otherwise ufunge uzi ujiletee na kujisomea mwenyewe the thing sio kumaliza unaweza kumaliza 2040 nimetumia lugha rahisi kwa wewe na wafia kambiwako muelewe. Haya karibuni tuanze kutoneshana leo niko off na nadaiwa kodi am so bitter nahitaji watu kumi tukwaruane kwelikweli. wenu mtiifu boma liwanza
BOMA YEE BOMA YEE, BE HUMBLE U KNOW
 
Back
Top Bottom