Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Jamaa kashaanza kuwa na maringoPage ya 100 ni masimango tu hakuna stori yyt inapostiwa
Hili chizi ni takataka itakuwa inaliwa hiiSikujui hunijui ila wewe chizi maarifa ni Slut mzoeafu ..unakatwa .
Nitakublock hayaaAtakua ni huyu Unique Flower
True naikubali hojaSikujui hunijui ila wewe chizi maarifa ni Slut mzoeafu ..unakatwa .
ila ww jamaa walah ni mattaco ubwa weweKabisa.... Ila nimemwambia atume episode nyingine haraka nataka nione ambapo ataandika kuwa alikuwa analala na Ally Mpemba. Asikwepe hapo.
Mkuu hata harmonize alipokelewa na boss wa wcb na boss akizubaa anapelekewa moto na mnyama pori wa tandahimba kukubali kushindwa napo ni ushindi unless otherwise utapigwa home and away unapigwa kwenye nyuzi na unashindwa kwenye kukubali kwamba mwamba kakuachia vumbiNo mimi siwezi mind kuitwa sina akili. Mimi si ni CHIZI umeona ID yangu? So nafurahi kuitwa hivyo. Nimesikitika tu kuwa yeye nawa tumempokea leo anajioona mjanja....🤣
Asa ata ukini block nitapungukiwa Nini mwaisa?🤔Nitakublock hayaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sehemu ya :17
Baada ya kuwasiliana na bwana ally mpemba, niliamua kuelekea bafuni kwa ajili ya kuusafisha mwili, hii ni kutokana na uchovu niliokuwa nao.
nilibeba ndoo ndogo iliyokuwa na maji ndani yake,basi baada ya kufika bafuni nilianza kuvua nguo zangu taratibu, nikianza na t-shirt,suruali na kumalizia na pensi yangu nyeusi.
ghafla niligundua kuwa nimesahau sabuni ndani ya chumba changu, ila nilipuuzia kwa kusema kama nimezoea kuoga ziwani basi maji ya wanaume wa dar hayawezi nishinda.
Kabla hata ya kujimwagia maji mwilini ,kilitokea kitendo Cha kushangaza ambacho mpaka leo siwezi kukielewa??
Ile bangili niliyokuwa nimepewa na mganga, ilichomoka mkononi pasipo ridhaa yangu, nilitoa macho Kama mjusi aliyebanwa na mlango, kutokana na kutoamini kilichotokea
Nikiwa katika mshangao, nilisikia sauti nzito ikisema "we umuuuuuu leo umeyakanyaga, yaani umeamua kui delete mizimu??
Nilianza kuchezea makofi ya usoni na mgongoni, nikajiwazia haya yote yasingetokea Kama ningemuoa monica, sijui yuko wapi mchawi yulee??
Ndio nini hiki halafu unajifanya kumsahihisha master 😅😅😅😅nikuchanye
Ukishapoteza marinda unahamia jinsia ya pili🤭🤭🤭Jamaa anakera sana.. hivi hakuna namna awe banned huyo chizi maarifa alafu nina wasi wasi na jinsia yake mtoto gani wakiume ana mipasho..anakera sana
Utaacha usumbufu halafu mie sio mwaisaS
Asa ata ukini block nitapungukiwa Nini mwaisa?🤔
BOMA YEE BOMA YEE, BE HUMBLE U KNOWyou would have said this earlier than now coz uv been here just commenting otherwise yes hujashauriwa na mtu lakini hujiletei ww unatuletea sisi otherwise ufunge uzi ujiletee na kujisomea mwenyewe the thing sio kumaliza unaweza kumaliza 2040 nimetumia lugha rahisi kwa wewe na wafia kambiwako muelewe. Haya karibuni tuanze kutoneshana leo niko off na nadaiwa kodi am so bitter nahitaji watu kumi tukwaruane kwelikweli. wenu mtiifu boma liwanza
am humbled you knowBOMA YEE BOMA YEE, BE HUMBLE U KNOW
Kalipe kodi kwanza ndio uje hapa kukwarulana.leo niko off na nadaiwa kodi