Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Huu muda uliotumia kuandika hapa ungetosha episode moja[emoji3][emoji3]
Hii habari uliyoleta ni njema sana, mashabiki wako sasa watakaa kwa amani wakisubiri hiyo keshokutwa ukirudi mjini. Natumaini matusi yatapungua na uzi utapumzika sasa.
Umeanza vibaya alaf ukamaliza vyema
 
Nimesoma comments humu aisee ndo maana tuna ID fake...kuna watu wanafanana na majina ya ID zao na kupitiliza...wamevurugwa wana msongo mkubwaa..wako so harsh na so negative kwa wenzaoo...haiingii akilini mtu kushupaza shingo kwa comments zaidi ya 100 kupinga jambo ambalo hakuwepo au hata msimuliaji hamjui hata ukucha...watu tunatofautiana pakubwa mnoo..
 
Wewe utakuwa mpumbavu zaidi, ujue watu wajinga ndio wanakuwa wa kwanza kuhukumu wenzao wanapofanya mistake sababu inawafariji kuwa kumbe wajinga tuko wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…