Anigrain
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 1,680
- 4,204
Shukrani mkuu...! Hiyo link IPO humu kwenye ila kipengele ni kupiga kuraFungua jukwaa la entertainment >>uzi wa kwanza (sticky thread) >>page 1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani mkuu...! Hiyo link IPO humu kwenye ila kipengele ni kupiga kuraFungua jukwaa la entertainment >>uzi wa kwanza (sticky thread) >>page 1
Nataka nikupigie kura sijui wanapiga vpPiga kura kijana stori ipo
Inahitaji kujizima data .Dah! 1.3mil kwa miez 5 hongera sana mkuu
Wengine hyo tunaikusanya kwa mwaka mzima na wakati kwa mwezi tunaingiza laki 9
Vipi? Sasa hivi yale majengo yashaendelezwa?Kama ulifanya kazi pale dege karibu na cheka uko vzr
Muda siiyo mrefu nitashare picha ya majengo hayo kwa wasiofahamu ,kipindi Cha jiwe Kama yalitelekezwa HV
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mie natumia App ya JF haina voting site. Ile nimeshapiga kutipia website.Ingia kwenye huo Uzi wa Kupiga Kura, Kisha kwenye jina la UMUGHAKA utaona Duara dogo, click ndani ya hilo Duara halaf chini bonyeza “CAST VOTE”
View attachment 2454239
Sio kaka tu mtu yeyote unayemuheshimu huwezi kulala nae/kulala na binti/mke wake, kama una akili timamu na huendeshwi na tamaa.Wewe unaweza kulala na mke wa kaka yako?
Kaka acha hzo acha kunigombanisha na umughaka mm nilikuwa nahoji tu jinsi umughaka alivyo kuwa mjinga kukubali kutoa milion 9 kwa ndugu yake bill kufanya hata ka analysis yoyoteUmesahau jana kuna mtu anaitwa dr namugari alisema umughaka ni mtu wa hovyo kuliko wote labda apigiwe kura ya mtu mzembe kabisa maana katika story zake zote yeye ndio anakuwa mhanga mara zote. Mtanzania Mnyonge22
Acha upumbavu kaka ,at least mind ur business bas Kama VIP nenda kamsimulie mke wako story za umeghaka shenzi kbsaBila shaka wewe ndie Kilieri mwenyewe maana unaandika Kilevi Levi sana,unashobokea story za watu kindezi afu unajiita Dr? Mkuu ficha ujinga wako na ujuaji wako mwenzako Popoma hana Amani wiki ya pili hii
Nitakupa kura yangu ila wakt mwingine plz watch out [emoji41] mkuuNitaendelea mkuu wala hata usiwe na hofu
Lazima ajua somo la kutoamini watuNitakupa kura yangu ila wakt mwingine plz watch out [emoji41] mkuu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Em nenda kasome tena🤣🤣🤣🤣Kwahiyo hapo umesema kilichomuuma Steve ilikua anajua dem wake amefanywaje kwenye kitanda chake?
Alfu wee mjinga usicho kijuwa mm na umughaka Ni bifu nae kwamba alinitukana matusi ya kejeli ktk Uzi wangu nilio uanzisha yeye umughaka akiwa Moja ya wachangiaji akitoa lugha chafu dhid yangu.Umesahau jana kuna mtu anaitwa dr namugari alisema umughaka ni mtu wa hovyo kuliko wote labda apigiwe kura ya mtu mzembe kabisa maana katika story zake zote yeye ndio anakuwa mhanga mara zote. Mtanzania Mnyonge22
Wee dada Acha shoboAlfu wee mjinga usicho kijuwa mm na umughaka Ni bifu nae kwamba alinitukana matusi ya kejeli ktk Uzi wangu nilio uanzisha yeye umughaka akiwa Moja ya wachangiaji akitoa lugha chafu dhid yangu
Tokea siku hyo nilianza kumdharau ,kumdis umughaka popote pale. Na nitaendelea kumkozoa had mwisho
Ingaawa nitampa kura
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app