Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
😅😅😅Wakurya ni wababe sana. Mwanamke wanamweka kwenye daraja la chini, wanamchukulia kama mtoto hivi."Vijana wa stendi Dar ni kama wanawake tu wasiokuwa na uwezo wa kunifanya chochote " Mwisho wa kunukuu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣( Naendelea kusoma sitorii
)
Kuna siku nilikutana na Kijana mmoja wa Kikurya, sasa katika mazungumzo tukafikia kuulizana kama ana mchumba. Akasema Ukuryani hawana msamiati wa mchumba, wana msamiati wa mke tu. Kwamba, kijana akishamwona msichana wa kumwoa basi huwa hakuna habari za uchumba. Ni mahari na ndoa inafuata. Nilishangaa na sikuelewa kwa urahisi. Labda kama wapo Wakurya humu wathibitishe juu ya hili.
Happy Christmas Antonnia