Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

"Vijana wa stendi Dar ni kama wanawake tu wasiokuwa na uwezo wa kunifanya chochote " Mwisho wa kunukuu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣( Naendelea kusoma sitorii
)
😅😅😅Wakurya ni wababe sana. Mwanamke wanamweka kwenye daraja la chini, wanamchukulia kama mtoto hivi.

Kuna siku nilikutana na Kijana mmoja wa Kikurya, sasa katika mazungumzo tukafikia kuulizana kama ana mchumba. Akasema Ukuryani hawana msamiati wa mchumba, wana msamiati wa mke tu. Kwamba, kijana akishamwona msichana wa kumwoa basi huwa hakuna habari za uchumba. Ni mahari na ndoa inafuata. Nilishangaa na sikuelewa kwa urahisi. Labda kama wapo Wakurya humu wathibitishe juu ya hili.
Happy Christmas Antonnia
 
[emoji28][emoji28][emoji28]Wakurya ni wababe sana. Mwanamke wanamweka kwenye daraja la chini, wanamchukulia kama mtoto hivi.

Kuna siku nilikutana na Kijana mmoja wa Kikurya, sasa katika mazungumzo tukafikia kuulizana kama ana mchumba. Akasema Ukuryani hawana msamiati wa mchumba, wana msamiati wa mke tu. Kwamba, kijana akishamwona msichana wa kumwoa basi huwa hakuna habari za uchumba. Ni mahari na ndoa inafuata. Nilishangaa na sikuelewa kwa urahisi. Labda kama wapo Wakurya humu wathibitishe juu ya hili.
Happy Christmas Antonnia
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wakurya watu wa ajabu sana, kuna jamaa Mkurya kama miaka 6 iliyopita nilimtembelea kwake, sasa TUPO nje tunapiga story akaja kuitwa na Mke wake Baba Devi Chakula tayari akaniambia twende tukale Mimi nikamwambia niko fresh akainuka kwenda ndani baada ya dk 1 akaja nje anafoka kinoma akawa Yaani hiri ri Mwanamke ra ajabu rinasema chakura tayari harijaweka rinazani nakura maji ya kunawa???
Aisee nilikuwa nachekea tumboni tu.
 
😅😅😅Wakurya ni wababe sana. Mwanamke wanamweka kwenye daraja la chini, wanamchukulia kama mtoto hivi.

Kuna siku nilikutana na Kijana mmoja wa Kikurya, sasa katika mazungumzo tukafikia kuulizana kama ana mchumba. Akasema Ukuryani hawana msamiati wa mchumba, wana msamiati wa mke tu. Kwamba, kijana akishamwona msichana wa kumwoa basi huwa hakuna habari za uchumba. Ni mahari na ndoa inafuata. Nilishangaa na sikuelewa kwa urahisi. Labda kama wapo Wakurya humu wathibitishe juu ya hili.
Happy Christmas Antonnia
hao wanawake wa kikurya we kabila lingine huwawezi,kabla ya kuhamia kwenye nyumba yao mpya huku chanika,baada ya kumaliza kushusha mizigo,uliibuka mzozo mkubwa kati ya mke na mume,zilipigwa si chini ya masaa matatu,sisi tunaangalia tu,kuuliza kisa nini,tunaambiwa hao ni wakulya huo mzozo ni kama brekifasti,lanchi bado,tulichoka sana aisee...
 
Wew Ni mpumbavu Sana Tena unaiba I'd na Kisha kuifananisha na ya purely talented le popoma GENTAMYCINE

Acha ujinga wewe unadhani popoma Ni mpumbavu kama wew

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Achaneni nae huyo Mwendawazimu. Ataiga ID yangu ila IQ yangu, Uchambuzi wangu na Uwasilishaji wangu wa Masuala Mtambuka hapa JamiiForums kamwe hatoweza Kuiga, Kuniiga na Kuyaiga.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
 
Hivi kuna uwezekano wa kuindoa kura yangu huyu umughaka alikua anaitaji kura tu ameona zimemtosha kashinda ametuzarau wapiga kura wake
Umughaka hajawahi kuishi kwa kura mkuu, fuatilia story zake za mwanzo aliziweka hapa hakukuwa hata na mambo ya kupiga kura...ataimaliza story lkn kwa wakati wake.....Merry Christmas[emoji319]
 
Achaneni nae huyo Mwendawazimu. Ataiga ID yangu ila IQ yangu, Uchambuzi wangu na Uwasilishaji wangu wa Masuala Mtambuka hapa JamiiForums kamwe hatoweza Kuiga, Kuniiga na Kuyaiga.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
Hakika mkuu wew ndio the greatest of all time jf experts member na nadra sna upatikane kwenye majukwa ya kipuuzi

The greatest GENTAMYCINE all time members

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
in

una akili sana,wengi wana laumu tu,ooh utampaje mtu m9,kirahisi hivyo we mjinga,kumbe hawajui ukiua kwa upanga,na wewe utauwawa kwa upanga,maisha ni mzunguko,yale unayofanyia wengine yawe mabaya au mazuri,siku moja yatakurudia tu na nyongeza juu,hiyo ni kanuni ya maumbile ya asili ambayo Mungu ameifanya,inajiendesha yenyewe automatic,upende usipende lazima siku moja yatakurudia tu...
Ndivyo ilivyo , labda uitubie sana hiyo dhambi lakini si vinginevyo lazima uilipie tu, wanamlaumu tu lakini haikuwa pesa yake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wakurya watu wa ajabu sana, kuna jamaa Mkurya kama miaka 6 iliyopita nilimtembelea kwake, sasa TUPO nje tunapiga story akaja kuitwa na Mke wake Baba Devi Chakula tayari akaniambia twende tukale Mimi nikamwambia niko fresh akainuka kwenda ndani baada ya dk 1 akaja nje anafoka kinoma akawa Yaani hiri ri Mwanamke ra ajabu rinasema chakura tayari harijaweka rinazani nakura maji ya kunawa???
Aisee nilikuwa nachekea tumboni tu.
Akili za bangi[emoji16]
 
Back
Top Bottom