Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Kuna mwanamke wa kikurya aliwah kumuuma kijana mmoja mkono mpaka akamtoa damu baada ya kumkuta kijana yule kakaa kwenye siti yake na alipomuomba kumpisha kijana alikataa na kusema kuwa kakatiwa hyo siti na konda hvyo ni yake na hawez kutoka

Baada ya lile tukio ilibidi yule mama atafutiwe siti na akaanza kujitapa kwa kusema kuwa haogopi mtu ameshazoea kupigwa na mume wake mpaka anazimia na akizinduka wanaendelea na ugomvi
Duu jamani!!!!
 
Hii umenikumbusha kwa Mara ya kwanza kupanda Nissan Patrol moja ya bosi wetu Ladwa ile badae ikaibiwa na kupelekea matukio kule Moshi.
Nilipanda kibahati tu kuna issue ilikua tutoke ofisini kwake Nyerere road mpaka hotelini kwao O bay.
Aloo nadhani kale kasafari ilikua kama tunaenda peponi.
Ndo nilijua kwamba kuna watu wanaishi sie wasindikizaji tu.
Huyu Lwadwa alinigonga na hii Nissan Patrol pale IFM miaka ya 2002 mie nikiwa na Carina Road Runner, alishuka kwenye gari akaniuliza kijana unatakaje? nikamwbia kutengenezewa gari yangu, kwenye alikua na mwanake akamwacha ili afanye mpango gari yangu ivutwe
 
Hii umenikumbusha kwa Mara ya kwanza kupanda Nissan Patrol moja ya bosi wetu Ladwa ile badae ikaibiwa na kupelekea matukio kule Moshi.
Nilipanda kibahati tu kuna issue ilikua tutoke ofisini kwake Nyerere road mpaka hotelini kwao O bay.
Aloo nadhani kale kasafari ilikua kama tunaenda peponi.
Ndo nilijua kwamba kuna watu wanaishi sie wasindikizaji tu.
Baada ya kuibiwa ile gari ilipatikana?
 
Huyu Lwadwa alinigonga na hii Nissan Patrol pale IFM miaka ya 2002 mie nikiwa na Carina Road Runner,alishuka kwenye gari akaniuliza kijana unatakaje?,nikamwbia kutengenezewa gari yangu,kwenye alikua na mwanake akamwacha ili afanye mpango gari yangu ivutwe
2002 hiyo gari haikuwepo,labda km walirudishiwa au kununua ingine.
By the way kuna nyeupe na nyekundu moja uliyopata nayo ajali siyo ninayozungumzia.
 
Back
Top Bottom