Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Daah ...unatokwa povu kwa ajili ya mume wa mtu namna hiyo? Pole saaaaana...😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Daah ...unatokwa povu kwa ajili ya mume wa mtu namna hiyo? Pole saaaaana...😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hapa mbona kama unaonekana wewe ndo umeolewa? Yaani jamaa ni mume wako! Au wadau mmeelewaje hiyo komenti yake hapo?

Mwanaume rijali hawezi sema " Pole saaaana" kama uliyoisema hapo.
 
Kuna mawili ww ndio umugaka sijui, au wewe una WIVU na chuki kali sana kwa huyu msimulia stori, mana naona thread zako za nyuma uliwah kusimulia stor fulan na pia kuna thread nyingine za matukio yako,lakin naona hujapata umaarufu kama wa huyu umugaka, stor zako hazikpata attention na zaid hazikuisha ulisusa kama demu sababu wana walijua ni stori za kutunga tu,
kwaio hio inakusumbua na kukuumiza moyo kias kwamba umeanza kurusha maneno kama bi khadija kopa.
Aah sasa ungetuambia tangu mapema kwamba jamaa aliwahi kuandika story zikabuma. Ulikua wapi tumekaa mda wote tunajiuliza huyu ni ex wa umughaka au?

Kumbe anaumia nyuzi zake kubuma. Wana jf nendeni mkasome nyuzi za chizi aache kumvaa Umu ili tuipumzishe hii thread.
 
Kuna mawili ww ndio umugaka sijui, au wewe una WIVU na chuki kali sana kwa huyu msimulia stori, mana naona thread zako za nyuma uliwah kusimulia stor fulan na pia kuna thread nyingine za matukio yako,lakin naona hujapata umaarufu kama wa huyu umugaka, stor zako hazikpata attention na zaid hazikuisha ulisusa kama demu sababu wana walijua ni stori za kutunga tu,
kwaio hio inakusumbua na kukuumiza moyo kias kwamba umeanza kurusha maneno kama bi khadija kopa.
Dada...mimi si msimuliaji stories....na mimi ni chizi umaarufu kwa chizi ni kama umaarufu kwa beberu. So kama wewe ni galfriend wake umugaka uwe na amani naye tu au kama ni ID yake nyingine ujue ni upumbavu kutafuta umaarufu wa JF.

Watu siku hizi wanatafuta pesa. Yaani wewe unakuja kutafuta umaarufu JF? Una akili kweli? Unakusaidia nini? Mimi na enjoy tu maisha haya ya hivi kuwatoa mapovo watu kama nyie....nipo Likizo...😂
 
Watu wanahoji walipokuwa unguja nani alikuwa anafungua mlango ili kuhalalisha story kuwa ya hovyo na kuwa hakuna mwingine zaidi ya master anaweza kufanya hiyo kazi lkn hawahoji kabla ya master nani alishika hiyo kazi au baada ya master kuondoka nani atafanya hiyo kazi.
Stori za kutunga hazihitaji maswali mengi kausha
 
Back
Top Bottom