Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

UMUGHAKA ana majukumu jamani halafu sio lazima na halazimishwi atafanya anavyotaka mtu ataachaje kazi zake ili akuridhishe wewe tu?
Nimegundua watu wengi humu ni majobless hawana kazi za kuwa keep busy. Hebu badilikeni na muwe Wavumilivu kama mkiwa mnataka mtu afanye kile mnachokitaka mtapata tabu sana hasa kwenye maisha ya kawaida. Jifunzeni kuwa na Subira halafu hata mkiwa mnashushiwa episodes daily zitabadilisha nini kwenye maisha yenu?

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Ata wewe ni jobless ndo mana upo hapa
 
Umeipata pata sasa..sisi tulilalamika siku nyingi huyu jamaa ana katabia flani hili "kahovyo". Mpaka tukashauri kama ulivyoshauri Mods wafute huu uzi maana umejaa malumbano tu na yeye anapita anaangalia tu.
Mkuu siku hizi duniani kuna biashara ya data sasa uzi ufutwe hizo data zitauzwaje?
Kila kitu unachokipenda kitakupa maumivu kubali tu kuwa mtumwa. Umekubali mwenyewe kusoma huu uzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ata wewe ni jobless ndo mana upo hapa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jobless nisiye lazimisha fulani afanye kitu ili niridhike nafsi yangu. Hivi hata kama episodes zote zikiwekwa hapa zitakusaidia nini? Zaidi ya kufurahi na furaha yenyewe haidumu hata masaa mawili. Watu wa jifunze kuwa content na kile kinachowekwa.

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jobless nisiye lazimisha fulani afanye kitu ili niridhike nafsi yangu. Hivi hata kama episodes zote zikiwekwa hapa zitakusaidia nini? Zaidi ya kufurahi na furaha yenyewe haidumu hata masaa mawili. Watu wa jifunze kuwa content na kile kinachowekwa.

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Wewe jamaa una kiherehere sana.
 
Yupo online huyu Mjita
Screenshot_20230113-191703_Chrome.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jobless nisiye lazimisha fulani afanye kitu ili niridhike nafsi yangu. Hivi hata kama episodes zote zikiwekwa hapa zitakusaidia nini? Zaidi ya kufurahi na furaha yenyewe haidumu hata masaa mawili. Watu wa jifunze kuwa content na kile kinachowekwa.

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app

Yaani mtu aache kutafuta hela huko ashinde akiwaandikia story ambayo pia hamumlipi. Watafute kazi za kufanya waache kulalamika hovyo
 
Yaani mtu aache kutafuta hela huko ashinde akiwaandikia story ambayo pia hamumlipi. Watafute kazi za kufanya waache kulalamika hovyo
Vijana tunatakiwa tubadirike aisee halafu kinachowafanya wakilalamikie hakina faida yoyote kwenye maisha ya kawaida. Vijana tuwe na utulivu hii ni burudani tu hata kama utashushiwa episodes buku haIkusaidii kitu. Relax and enjoy. Kwa hiki unachowekewa hapa tena bure
 
Back
Top Bottom