Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

We jamaaa mbna una husda ya wazi hivi!? yaani una wish ungekua mke wa mwamba
Daaaah.....kweli wanawake mkiamua kupenda mnapenda. Hii text umeandika kwa mahaba. Na unamwona jamaa tayari ni mwamba wako.....🤣 Umenikumbusha mbali sana. Kuna demu alikuwa ananiita hivyo.... Ngoja aje Chizi Maarifa akujibu. Sema nimeona una mapenzi sana kwa
 
Simkumbuki lakini story yake ilihusu alivyoanza mahusiano na mwanafunzi mwenake wa kidato cha mne yeye akiwa kidato cha pili lakini kabla ya kumaliza kidato cha nne akapata mimba. Yule jamaa yake akachukua jukumu la kumsomesha baada ya kukifungua mpaka demu akafika advance. Jamaa nae alikuwa amesoma hadi chuo lakini alifariki akiwa mwaka wa pili chuoni. Simkumbuki huyo demu lakini story yake ni nzuri sana isiyokuwa na epsode
Nimeipata nimeisoma ni nzuri
 
Yani mi pamoja ni jobless ila sijawahi kukaa humu nambembeleza jamaa amalizie stori , yani naonaga ni kitu cha ajabu sana aisee, anaweza amalizie au akae mwaka hajatoa episode hio haituhusu, na hashtakiwi popote mi sioni sababu ya kuingilia uhuru wa stori ya mtu, let him be....

Tuendelee na mambo mengine , Google imejaa vitu vingi sana vya maana vya kusoma hivi huwa inakuaje mpaka mnakua kama mmekosa option ingine ???
 
Dah nilikuwa mdogo kiasi Ila Yale magazeti yakusumbua Sana mtaa jamani,yaani linazunguka mtaa mzima[emoji23][emoji23],baadae likatoka lingine kinaitwa Tabasamu dah! cover Sasa wanachora wadada wana misambwanda hiyo balaa
Miaka hiyo, jeuri ya kulinunua gazeti hilo, wengi tulikuwa hatuna! Sasa kuna "aliyekuwa" classmate pale Azimio Primary School Mbeya mjini, baba yake alikuwa ni mfanyabiasha ya usafirishaji (mabasi),basi yeye ananunua magazeti mawili, moja lake, lingine linazunguka darasa zima.

Wakati mwingine, linahamia madarasa mengine! Ile michoro ya akina Kipepe ilikuwa inatuburudisha sana!
Kero, ilikuwa kulisubiri kama miendelezo ya simulizi hizi za UMUGHAKA !
 
Back
Top Bottom