Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Uchambuzi wa stori hadi hapa tulipofikia

UMUGHAKA Kukosea masharti ilikuwa planned,....hivi ndivyo huu utajiri unavyoenda / unapumbazwa then unakosea masharti. Ili uingie kwenye mfumo then mfanye collective bargaining upya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hata ujitahidi vipi kujifanya innocent wa kufuata masharti .......lazima Kuna siku utajaa kwenye mfumo

UMUGHAKA ilikuwa lazima akosee masharti ili price itimizwe

References from different movies

shenala the chronicles & Merlin

."....for every magic there is price to pay"
Pamoja na hayo yote; kuna mambo kadhaa ya kujiuliza.

1. Ni nini lengo la Allpy Mpemba kwa Umughaka?

2. Je, katika maisha yake Ally Mpemba, hajawahi kukutana na mtu mwingine mwenye nyota ya pesa zaidi yaumughaka?

3. Kama umughaka ana nyota ya pesa, kwa nini Ally mpemba asiishie kuitumia nyota hiyo kwa kumfanya umughaka kama mfanyakazi wake? Kwa nini amshitikishe mambo yake?

Hata hivyo, kukutana kwa rehema na umughaka ni planned, ndio maana siku amemuona kule sokoni alisema hajui hata ni kitu gani kilitokea.
 
Hiki ni kisa cha kubuni kabisa sema tu majobless wanaamua kumuunga mkono bodaboda UMUGHAKA

Kama unakumbuka mwanzoni umughaka alisema Maya ni mnyama ila baadae kaleta hadithi mpya ya eti maya ni msukule wa kiarabu

Kama mtakumbuka sijui ni episode ya ngapi umughaka anasema alifungua chumba cha Maya na akawa amepushiwa na nguvu ya ajabu na mnyama anaefanana sijui na nguruwe na walipokwenda yeye na ally kumuomba maya msamaha maya alikuja akiwa katika umbo la mnyama

Kiufupi hiki ni kisa cha kutunga 100% na ni kichaa pekee anaeweza amini kuwa hiki ni kisa cha kweli

Wenye akili zetu tupo hapa tu kwa kazi maalum.

Angalizo: Muda si mrefu makampuni ya simu wanakwenda kupiga mchinjo vifurushi vya Internet
 
Wenye akili zetu tupo hapa tu kwa kazi maalum kwahiyo misukule ya UMUGHAKA kama inafikiria tuko pamoja ngoja iendelee kuunguza bando na tuvifurushi twao twa chuo

Iwe ya kutunga au kutotunga; bado bado hoja nilizoshare zinahitaji majibu, probably mwishoni.

Halafu, ikiwa ya kutunga/ukweli wewe inakuondolea/kukuongezea nini?
 
Hiki ni kisa cha kubuni kabisa sema tu majobless wanaamua kumuunga mkono bodaboda UMUGHAKA

Kama unakumbuka mwanzoni umughaka alisema Maya ni mnyama ila baadae kaleta hadithi mpya ya eti maya ni msukule wa kiarabu

Kama mtakumbuka sijui ni episode ya ngapi umughaka anasema alifungua chumba cha Maya na akawa amepushiwa na nguvu ya ajabu na mnyama anaefanana sijui na nguruwe na walipokwenda yeye na ally kumuomba maya msamaha maya alikuja akiwa katika umbo la mnyama

Kiufupi hiki ni kisa cha kutunga 100% na ni kichaa pekee anaeweza amini kuwa hiki ni kisa cha kweli

Wenye akili zetu tupo hapa tu kwa kazi maalum kwahiyo misukule ya UMUGHAKA kama inafikiria tuko pamoja ngoja iendelee kuunguza bando na tuvifurushi twao twa chuo

Angalizo: Muda si mrefu makampuni ya simu wanakwenda kupiga mchinjo vifurushi vya Internet
Rudia Tena kusoma

Maya mnyama/ nguruwe[emoji777][emoji777][emoji777]

Anavyokula ule msosi ........nikama nguruwe pia jinsi anavyolia
 
Hiki ni kisa cha kubuni kabisa sema tu majobless wanaamua kumuunga mkono bodaboda UMUGHAKA

Kama unakumbuka mwanzoni umughaka alisema Maya ni mnyama ila baadae kaleta hadithi mpya ya eti maya ni msukule wa kiarabu

Kama mtakumbuka sijui ni episode ya ngapi umughaka anasema alifungua chumba cha Maya na akawa amepushiwa na nguvu ya ajabu na mnyama anaefanana sijui na nguruwe na walipokwenda yeye na ally kumuomba maya msamaha maya alikuja akiwa katika umbo la mnyama

Kiufupi hiki ni kisa cha kutunga 100% na ni kichaa pekee anaeweza amini kuwa hiki ni kisa cha kweli

Wenye akili zetu tupo hapa tu kwa kazi maalum kwahiyo misukule ya UMUGHAKA kama inafikiria tuko pamoja ngoja iendelee kuunguza bando na tuvifurushi twao twa chuo

Angalizo: Muda si mrefu makampuni ya simu wanakwenda kupiga mchinjo vifurushi vya Internet
Huna akili wewe,kipindi kile master alikua hajajua kuna nn ndani ndo mwanamke akampush alkua hamfaham,,na hakusema kama n nguruwe alisema alisikia kitu kinachokula kama nguruwe
 
Hiki ni kisa cha kubuni kabisa sema tu majobless wanaamua kumuunga mkono bodaboda UMUGHAKA

Kama unakumbuka mwanzoni umughaka alisema Maya ni mnyama ila baadae kaleta hadithi mpya ya eti maya ni msukule wa kiarabu

Kama mtakumbuka sijui ni episode ya ngapi umughaka anasema alifungua chumba cha Maya na akawa amepushiwa na nguvu ya ajabu na mnyama anaefanana sijui na nguruwe na walipokwenda yeye na ally kumuomba maya msamaha maya alikuja akiwa katika umbo la mnyama

Kiufupi hiki ni kisa cha kutunga 100% na ni kichaa pekee anaeweza amini kuwa hiki ni kisa cha kweli

Wenye akili zetu tupo hapa tu kwa kazi maalum kwahiyo misukule ya UMUGHAKA kama inafikiria tuko pamoja ngoja iendelee kuunguza bando na tuvifurushi twao twa chuo

Angalizo: Muda si mrefu makampuni ya simu wanakwenda kupiga mchinjo vifurushi vya Internet
Kaangalie hyo animation nmesahau jina lake utajua nn alikuwa anasema master.
 
Attachments

  • 20221218_235230.jpg
    20221218_235230.jpg
    138.8 KB · Views: 35
Hiki ni kisa cha kubuni kabisa sema tu majobless wanaamua kumuunga mkono bodaboda UMUGHAKA

Kama unakumbuka mwanzoni umughaka alisema Maya ni mnyama ila baadae kaleta hadithi mpya ya eti maya ni msukule wa kiarabu

Kama mtakumbuka sijui ni episode ya ngapi umughaka anasema alifungua chumba cha Maya na akawa amepushiwa na nguvu ya ajabu na mnyama anaefanana sijui na nguruwe na walipokwenda yeye na ally kumuomba maya msamaha maya alikuja akiwa katika umbo la mnyama

Kiufupi hiki ni kisa cha kutunga 100% na ni kichaa pekee anaeweza amini kuwa hiki ni kisa cha kweli

Wenye akili zetu tupo hapa tu kwa kazi maalum kwahiyo misukule ya UMUGHAKA kama inafikiria tuko pamoja ngoja iendelee kuunguza bando na tuvifurushi twao twa chuo

Angalizo: Muda si mrefu makampuni ya simu wanakwenda kupiga mchinjo vifurushi vya Internet

Inaonesha dhahiri hujasoma vzr story story matukio yake yamekaa vzr na hakuna sehem alipo sema maya n mnyama alisema maya ananywele nyingi
 
Kaka vitim huna kazi za kufanya Kila saa unalialia hapa Mbna umekatisha story yako ya kak muarabu na Hakuna aliyelalamika Zaid tu umetukanwa embu kausha tu
Nasaidia kumuita UMUGHAKA aje awatoe stress majobless halafu kile kisa cha kaka muarabu nikifikisha mwisho labda kama wewe hukufuata maelekezo niliyotoa,halafu kuhusu kazi usiwaze kabisa niko hapa kwa kazi maalum
 
Hiki ni kisa cha kubuni kabisa sema tu majobless wanaamua kumuunga mkono bodaboda UMUGHAKA

Kama unakumbuka mwanzoni umughaka alisema Maya ni mnyama ila baadae kaleta hadithi mpya ya eti maya ni msukule wa kiarabu

Kama mtakumbuka sijui ni episode ya ngapi umughaka anasema alifungua chumba cha Maya na akawa amepushiwa na nguvu ya ajabu na mnyama anaefanana sijui na nguruwe na walipokwenda yeye na ally kumuomba maya msamaha maya alikuja akiwa katika umbo la mnyama

Kiufupi hiki ni kisa cha kutunga 100% na ni kichaa pekee anaeweza amini kuwa hiki ni kisa cha kweli

Wenye akili zetu tupo hapa tu kwa kazi maalum kwahiyo misukule ya UMUGHAKA kama inafikiria tuko pamoja ngoja iendelee kuunguza bando na tuvifurushi twao twa chuo

Angalizo: Muda si mrefu makampuni ya simu wanakwenda kupiga mchinjo vifurushi vya Internet
Unafeli
 
Back
Top Bottom