fdizzle
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,902
- 2,396
Mkuu vipiPicha yangu tena!
Unataka ufanyie nini mkuu!
Unaweza kunisaidia contacts za uyo mtaalam wa sumbawamga kama unazo na kama bado yupo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu vipiPicha yangu tena!
Unataka ufanyie nini mkuu!
Mkuu fanya namna urejee Jf hata kama ni kwa ujio mpya, hivi kama hii ban haina mwisho nani mwingine atakaetusimulia stori hivi ??Usijali mkuu wewe endelea kunifuatilia mzigo mpya nitauweka soon,nina vihoja na visa vya kutosha wewe andaa mbavu tu
Mkuu Mods wamekuwa na matendo ya Ovyo kupita maelezo,sababu za kufungiwa kwangu hazijulikani!,walinitumia ujumbe usemao "Pumzika mkuu,tumekupumzisha kwa muda usioeleweka"Daah, uliwakosea nini bwana UMUGHAKA hadi kupewa kifungo kizito hivyo?.
Karibu, ninatambua hata walikuweka korokoroni wanamiss nondo zako.
Mwenzio Mpwayungu Village yeye kaamua kuwa kimya
Mkuu Bujibuji Simba Nyamaume nina visa Takribani 5 Vilivyo Shiba nyama za kutosha,Tatizo hawa Mods wananifungiaga bila sababu za msingi na naona kama nikisimulia kisa changu cha " Nili lala na maiti nchini Malawi ili niwe mfanyabishara mkubwa wa Mahindi barani Afrika" ni kiwafaidisha wao!Mungu mkubwa, UMUGHAKA kamaliza ban yake, tutegemee vitu vikali zaidi
Mkuu I feel good huwa sina kipaji cha kutunga stori!Hii ni story ya kweli au ni riwaya hizi za siku hizi za kutunga?
Pole sana kiongozi, ndio maana siku hizi watu wenye chakula cha ubongo wengi wameacha kuandika humu.Mkuu Mods wamekuwa na matendo ya Ovyo kupita maelezo,sababu za kufungiwa kwangu hazijulikani!,walinitumia ujumbe usemao "Pumzika mkuu,tumekupumzisha kwa muda usioeleweka"
Huo ndiyo ujumbe hawa Vibaka walionitumia mkuu,Mimi Binafsi hakuna tatizo,kosa au miiko niliyokiuka hadi kufungiwa!,Hapa Jf nadhani mambo ya siasa ndiyo yanawafanya hadi wanakosa UTU!
Pole bro. Watu wa Mara mnawengwa sana na mods, sio wewe tu, hata GENTAMYCINEMkuu Bujibuji Simba Nyamaume nina visa Takribani 5 Vilivyo Shiba nyama za kutosha,Tatizo hawa Mods wananifungiaga bila sababu za msingi na naona kama nikisimulia kisa changu cha " Nili lala na maiti nchini Malawi ili niwe mfanyabishara mkubwa wa Mahindi barani Afrika" ni kiwafaidisha wao!
Ukiwa na AKILI NYINGI halafu una NYOTA KALI na UMEBARIKIWA TALANTA ( SHANI / TUNU ) nyingi na Mungu UTACHUKIWA tu.Pole bro. Watu wa Mara mnawengwa sana na mods, sio wewe tu, hata GENTAMYCINE
Kama Yusuf wa kwenye BibleUkiwa na AKILI NYINGI halafu una NYOTA KALI na UMEBARIKIWA TALANTA ( SHANI / TUNU ) nyingi na Mungu UTACHUKIWA tu.