Utajiri wa ushirikina una masharti magumu sana

Hakuna utajiri wa kishirikina wenye masharti mepesi wengine maagano yao awatakiwi kuoa
 
Utajiri wa kishirikina ungekuwa na Maana kama mwanadamu unaishi milele.
 
Hii hadith inatufundisha nini?
 
Mtumishi naona bado unapambana..keep it up. Ila angalia usije ishia mirembe, mana wa aina yako hua wanaongea wenyewe ovyo, huku mmebeba makabrasha na cd za firimasoni mtaani.
Ushavuta nini hela kula taratibu ila ukifika wakati wa kulipa usianze kurusha ngumi
 
Pambana mtumishi yakobo pambana ...
Nilishapambana nakula matunda kwa raha amani tele bila deni na Mtu.
Maisha ya Dunia si zaidi ya kula na kunywa mengine ni ziada
 
Ila kuna sehemu kama tumepigwa na dude zima kichwani "wazazi wa muhasibu walisafiri kwa ndege kutoka kijijini" kwa Nchi hii iliyorogwa ni kijiji gani kina uwanja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kijiji cha mghango singida
 
Wengine wanalala na binti zao bila hata huo utajiri, wengine mpaka na mama zao yote kwa yote vurugu tu katika hii dunia na kila mtu anabeba dhambi zake kulingana na mfuko wake.
Ya kulala na mama zao ni kweli kabisa nimeshuhudia kabisa na siyo kusaka utajiri tamaa za kijinga.

So sad
 
Shetani anachotoka mtu ukose mbingu tu. Usipoelewa unaweza kufikiri umepatia maisha kumbe umejiangamiza nafsi yako mwenyewe.
Mbingu ipi? Ile ya kuimba tu halafu mkiwa roho tu bila miili, mkizuiliwa kuoa na kuolewa au ile ya kupewa mabikra 100 wote unawashughulikia. Unazungumzia mbingu ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…