Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Shemeji yako akimuita dada yako demu mbele yako unaipokeaje?
Utajisikiaje?
Utajisikiaje?
Toka hapo kwa shemeji yako
Kumbe kwa wakenya hio ni kawaidaKama ni Mkenya hakuna tatizo.
Dame ni bata wa kike!Derm ni neno la kiingeleza lenye maana ya mwanamke.
Sikatai hilo ila shemeji kumuita DD yako hivo mbele yako naona haijakaa sawaDerm ni neno la kiingeleza lenye maana ya mwanamke.
Aisee watu mnakalili HhhhMnaoishi kwa mashemeji tokeni bhana mnatuchosha na nyuzi zenu
Wanaume tukiwa wenyewe kulitaja hakuna ubaya ila sio shemeji amtaje hivo DD yako naona haina heshimademu ni neno la dharau
Waitane wakiwa wenyewe ila sio mbele yangu , hapo anakuwa ananikosea heshima mimiKama anayeitwa hivyo hana shida, wewe shida yako nini?
Kama unahisi kukosewa heshima, hama hapo kwa shemeji.Waitane wakiwa wenyewe ila sio mbele yangu , hapo anakuwa ananikosea heshima mimi