Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
- Thread starter
- #21
Unajuaje labda nilikuwa naongeanaye na cm ? Akamtaja hivoUnatoka wapi na masheji mpaka waite dada zako hivyo ? Utoto ni raha sana
Unajuaje labda nilikuwa naongeanaye na cm ? Akamtaja hivoUnatoka wapi na masheji mpaka waite dada zako hivyo ? Utoto ni raha sana
Nataka nihamie kwako nije nimkule mkeo maana inaonesha haupendi nikikaa kwa shemeji yanguKama unahisi kukosewa heshima, hama hapo kwa shemeji.
anza sasa kunilishaUngejua naweza kukulisha wewe na familia yako mwaka mzima usinge ropoka
Sawa, karibu.Nataka nihamie kwako nije nimkule mkeo maana inaonesha haupendi nikikaa kwa shemeji yangu
We chenga sana , kwani ntu hawezi kumuita Dada yako shemeji kwenye maongezi kama cm au mmekutana mpk ukae kwakeSawa, karibu.
Ni PM nikutumie coordinates uje upate menyuanza sasa kunilisha
Mada ya kijinga kuliko zote tangu jf ianzishweShemeji yako akimuita dada yako demu mbele yako unaipokeaje ?
Nimefurah kuvunja hiyo recordMada ya kijinga kuliko zote tangu jf ianzishwe
Uchumi mgumuWe nae unafata nini kwa shemeji tulia dada adekezwe
Utakuwa na shida kwenye kuchanganua mambo.We chenga sana , kwani ntu hawezi kumuita Dada yako shemeji kwenye maongezi kama cm au mmekutana mpk ukae kwake
Ko dada ako akiitwa demu unachukia vp kama akiwa anagegendwa chumbani na wewe upo seblen unawaza mikekaUchumi mgumu
What if anamtaja Demu mbele ya baba mkwe , tukiwa masela wenyewe inaeleweka ila sio kumtaja hivo mbele ya shemeji yakoUtakuwa na shida kwenye kuchanganua mambo.
Here is why i say so, ukiona mtu anamuita mpenzi wake "Demu" means wapo kwenye comfort zone yao ambapo wanaongea language iliyo comfortabe kwao kulingana na muktadha. Sasa kama wao wapo kwenye comfort zone yao na wewe umejiweka hapo kama third wheel, unajivunjia heshima mwenyewe. Read the room and move.
Huna unachokielewa. Endelea na mada yako salama.What if anamtaja Demu mbele ya baba mkwe , tukiwa masela wenyewe inaeleweka ila sio kumtaja hivo mbele ya shemeji yako
utafanya nini sasa gentleman,Shemeji yako akimuita dada yako demu mbele yako unaipokeaje ?
poa mwambie dadako apike msos wakutoshaNi PM nikutumie coordinates uje upate menyu
Kama umeoa jaribu siku kwenda ukweni sema huyu demu kaniuzi kitu fulani au huyu demu anajua kupika , wasilisha ujumbe wako hivo je ni maadiliKo dada ako akiitwa demu unachukia vp kama akiwa anagegendwa chumbani na wewe upo seblen unawaza mikeka
Nawaroga waachaneutafanya nini sasa gentleman,
na dada yako ni demu wa shemeji yako?🐒
Ukweni huwezi kwenda kizembe izo zama za millennia ila kizazi cha sasa ukienda ukweni na pesa unapewa mpaka rimotiKama umeoa jaribu siku kwenda ukweni sema huyu demu kaniuzi kitu fulani au huyu demu anajua kupika , wasilisha ujumbe wako hivo je ni maadili