secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Mdogo mdogo tu mkuu wa kazi, naona umerudi bana!Kama kawaida inakuaje
Mdogo mdogo tu mkuu wa kazi, naona umerudi bana!Kama kawaida inakuaje
Subiri uje udhalilishwe tu mkuu maana hicho ndio unakitakaYananihusu ndomaana nashirikishwa wakigombana
Inaonekana una experience ya kutosha uliwahi kudhalilishwa nini na wewe ulikuwa na tabia kama zanguSubiri uje udhalilishwe tu mkuu maana hicho ndio unakitaka
Sina tabia ya kuingilia mapenzi ya watu na sitaki mtu aingilie yangu.Inaonekana una experience ya kutosha uliwahi kudhalilishwa nini na wewe ulikuwa na tabia kama zangu
The context matters. It has more than one meaning. One of them is this—Shemeji yako akimuita dada yako demu mbele yako unaipokeaje ?
Aaaah mwanangu me sikuizi Instagram ndo imeshaniiba so huku naonaga kama hakujachangamka hasa niliowazoea nisipowakuta akina nyie na wengine kibaooMdogo mdogo tu mkuu wa kazi, naona umerudi bana!
Huku Mimi nikiona hakujachangamka namchokoza mtu mmoja ili tutukanane.Aaaah mwanangu me sikuizi Instagram ndo imeshaniiba so huku naonaga kama hakujachangamka hasa niliowazoea nisipowakuta akina nyie na wengine kibaoo
Nani gentamicin au nani huyo😂Huku Mimi nikiona hakujachangamka namchokoza mtu mmoja ili tutukanane.
Ninavyokaa kwa shemeji pesa yangu haitumiki inajaa tu kwenye account si unajua hapa silipi bili kila kitu ni bure full kitonga na slide na ganda la ndiziBro ulishe mtu na familia yake mwaka mzima na wewe ni kwa shemeji. Kuja ifike amuite jina ambalo hupendi wewe ashakuchoka ndugu yangu.
Wako wengi tu humu 😁.Nani gentamicin au nani huyo😂
Kuna yule infropr... Mpinga dini yule ngoja nirudi kama zamaniWako wengi tu humu 😁.
Hio inafahamika hata mimi nasega Demu ila siwezi nikamuita mpenz wangu Demu ukweni mbele ya mashemeji maana hilo neno limekaa kama lugha ya mtaaniThe context matters. It has more than one meaning. One of them is this—
Dame is the female equivalent of the title “Sir” (like in Sir George Kahama). Example: Dame Agatha Christie! Maybe that’s how your brother-in-law flatters your sister!
Yule jamaa mbona hana noma kabisa.Kuna yule infropr... Mpinga dini yule ngoja nirudi kama zamani
sawa mkuu ila nakushauri tu uhame ndugu yangu siku wakipitana utajua hujui. Kama salio linasoma tafuta nyumba uishi huko uende kama mgeni rafk yangu.Ninavyokaa kwa shemeji pesa yangu haitumiki inajaa tu kwenye account si unajua hapa silipi bili kila kitu ni bure full kitonga na slide na ganda la ndizi
Mara ya mwisho tulikiwashaaaa 🤜🙂↔️Yule jamaa mbona hana noma kabisa.
Brz usawa huu ukipata pa kujiegesha bure unachangamkia fursa we hapa kila kitu kitonga hela yangu haitumiki hauoni bi bahati hii sio ya kuichezea .sawa mkuu ila nakushauri tu uhame ndugu yangu siku wakipitana utajua hujui. Kama salio linasoma tafuta nyumba uishi huko uende kama mgeni rafk yangu.
Hahaha 😂, ulimchokoza wewe nadhaniMara ya mwisho tulikiwashaaaa 🤜🙂↔️
Alipost sijui dini imefanya nini, nikamvamia hapo hapo akanijibu tukazua shari⚠️⚠️Hahaha 😂, ulimchokoza wewe nadhani