secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Sema nawe hujambo linapokuja swala la kumtetea mungu na dini.Alipost sijui dini imefanya nini, nikamvamia hapo hapo akanijibu tukazua shari⚠️⚠️
Sema nawe hujambo linapokuja swala la kumtetea mungu na dini.Alipost sijui dini imefanya nini, nikamvamia hapo hapo akanijibu tukazua shari⚠️⚠️
ME NAAAMINI NA NINATETEA SANA, ilw kuna baadhi ya vitu vinaniweka mashakani mfano KUMUANGAKIA KWA KUMTAMANI MWANAMKE USHAZINI NAESema nawe hujambo linapokuja swala la kumtetea mungu na dini.
Kumbe wewe unapinga kile ambacho umeshindwa kujizuia nacho, siyo?ME NAAAMINI NA NINATETEA SANA, ilw kuna baadhi ya vitu vinaniweka mashakani mfano KUMUANGAKIA KWA KUMTAMANI MWANAMKE USHAZINI NAE
HII HAIKO SAWA, NITAPINGA MILELE
sa kama ameanza kumuita majina ambayo wewe hupendi huoni hiyo red flag bro. We endelea kukaa hapo kama siku moja hujaambiwa pika hapo tule maana hawa wameemda kanisani shemej na hapo ndio utakua mwanzo wa yote. Ila kama wewe n last born endelea kuishi tu maana malastborn ni viumbe wengne.Brz usawa huu ukipata pa kujiegesha bure unachangamkia fursa we hapa kila kitu kitonga hela yangu haitumiki hauoni bi bahati hii sio ya kuichezea .
NO SIPINGI KWA SABABU HIYO NAPINGA SIO UHALISIA, KUZINI NI TOFAUTI NA KUTAMANI SIO KITU KIMOJA KAMA WALIVOWEKA WAOKumbe wewe unapinga kile ambacho umeshindwa kujizuia nacho, siyo?
Kwenye bibilia ukipinga kimoja basi umepinga vyote. We karibu tu kwenye chama Cha wasioamini bhana!NO SIPINGI KWA SABABU HIYO NAPINGA SIO UHALISIA, KUZINI NI TOFAUTI NA KUTAMANI SIO KITU KIMOJA KAMA WALIVOWEKA WAO
Kama nilivyosema, context matters. Hata neno “Queen” lina negative connotation mtu akiamua kulitumia vibaya!Hio inafahamika hata mimi nasega Demu ila siwezi nikamuita mpenz wangu Demu ukweni mbele ya mashemeji maana hilo neno limekaa kama lugha ya mtaani
KAMA MPAKA WEWE HUAMINI,BASI BORA NIKUBALIANE NA HUO MSTARI😂🤣🤣🤣🙌Kwenye bibilia ukipinga kimoja basi umepinga vyote. We karibu tu kwenye chama Cha wasioamini bhana!
Nitaufikiria ushauri wako , ngoja kwanza nimtapeli shemeji nipate mtaji wa kutokea kimaishasa kama ameanza kumuita majina ambayo wewe hupendi huoni hiyo red flag bro. We endelea kukaa hapo kama siku moja hujaambiwa pika hapo tule maana hawa wameemda kanisani shemej na hapo ndio utakua mwanzo wa yote. Ila kama wewe n last born endelea kuishi tu maana malastborn ni viumbe wengne.
Katika bibilia ukishaona Kuna uwongo mmoja basi jua bibilia hiyo yote imetungwa/imeandikwa na wahuni tu.KAMA MPAKA WEWE HUAMINI,BASI BORA NIKUBALIANE NA HUO MSTARI😂🤣🤣🤣🙌
HALAFU WAPI WALISEMA UKIPINGA NI SAWA NANKUPINGA YOTE
Ila we jamaaa🤣🤣Katika bibilia ukishaona Kuna uwongo mmoja basi jua bibilia hiyo yote imetungwa/imeandikwa na wahuni tu.
Mi siamini kama Kuna mungu wala shetani aisee 😂.Ila we jamaaa🤣🤣
Kama ingewezekana wewe usisubirishwe kufa ubanikwe na jua hapo hapo ulipo tu 😃😃 daah maana hii generalization sio poa
Ulikuwaga huamini?Mi siamini kama Kuna mungu wala shetani aisee 😂.
sa kama umekaa hapo na mpango wako usichukie hata akimuita dadako jina lolote hata kama atamuita madam kikojoleo you just mute for your mission.Nitaufikiria ushauri wako , ngoja kwanza nimtapeli shemeji nipate mtaji wa kutokea kimaisha
Tungu nikiwa na miaka 11 niliacha kuamini habari za Mungu na shetani.Ulikuwaga huamini?
Au umelishwa matangopori na infropreneur
Kuna tatizo mahali🥲Tungu nikiwa na miaka 11 niliacha kuamini habari za Mungu na shetani.
Nataka uniombee!Kuna tatizo mahali🥲
DAAAH WACHUNGAJI KAMA Rayns WANAKULA SADAKA BURE, WAKATI NDO KAZI ZAO HIZINataka uniombee!
Ni title of honor kwa huko British lilipotokeademu ni neno la dharau
Wale ni wahuni tu.DAAAH WACHUNGAJI KAMA Rayns WANAKULA SADAKA BURE, WAKATI NDO KAZI ZAO HIZI