Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Naona bado unajikumbushia celebration hahaaa"Jamani raha siyo raha
Raha tupuuu!
Jamani raha sana
Raha tupuuu!..."🎶🎵.
Naona bado unajikumbushia celebration hahaaa"Jamani raha siyo raha
Raha tupuuu!
Jamani raha sana
Raha tupuuu!..."🎶🎵.
Kumbe unafuatilia masuala ya politiks bhana!
Jamani si yamezagaa huko instagram pia unafikiri no siri?gT mpaka mtuone kwenye nyuzi zenu sio?Kumbe unafuatilia masuala ya politiks bhana!
😂😂 Ujue mi namwogopa mwanamke anayefuatilia siasa ehh!Jamani si yamezagaa huko instagram pia unafikiri no siri?gT mpaka mtuone kwenye nyuzi zenu sio?
Mimi sifuatilii mzee nakutana nazo! Sizipendi na hazisaidii kabisa zaidi ya kunipandisha sukari tu😏😂😂 Ujue mi namwogopa mwanamke anayefuatilia siasa ehh!
Wapi! Wakati nasikia unakwenda kugombea ubunge mwaka 2030 ili uendeleze umbea na shoga yako Kijakazi Yunus pale bungeni.Mimi sifuatilii mzee nakutana nazo! Sizipendi na hazisaidii kabisa zaidi ya kunipandisha sukari tu😏
Aah we! Mimi sina jimbo labda wanivawie kimchongo! Kwenda kupiga umbea bungeni afadhali anayegawa mashamba tu!Wapi! Wakati nasikia unakwenda kugombea ubunge mwaka 2030 ili uendeleze umbea na shoga yako Kijakazi Yunus pale bungeni.
Gombea kupitia Jimbo jipya la Gambosh. Utanishukuru 😎.Aah we! Mimi sina jimbo labda wanivawie kimchongo! Kwenda kupiga umbea bungeni afadhali anayegawa mashamba tu!
Nawewe umeenda kufanya nini kwa Shemeji yako?Shemeji yako akimuita dada yako demu mbele yako unaipokeaje ?
Wewe ni yupi tena jamani JF ina watu mweeh 🙄🙄🙄Hujamis jihogo langu?🤔
Najikaza kam mwanaume 😁Shemeji yako akimuita dada yako demu mbele yako unaipokeaje ?
KUITWA AITWEShemeji yako akimuita dada yako demu mbele yako unaipokeaje ?
MOTO WA VOLCANOUngejua naweza kukulisha wewe na familia yako mwaka mzima usinge ropoka
Ungekuwa na uwezo huo huyo shemeji yako asingekudharau mbele ya dada yako. Tafuta hela acha makasirikoUngejua naweza kukulisha wewe na familia yako mwaka mzima usinge ropoka
KWA HIYO NA WEWE SIKU UKIHAMISHWA KITUO CHA KAZI, UTAPOTEA HUMUHivi mdogo wangu mjusi alishapataga kazi au maana simuoni sikuhizi😅
Kwanza njoo hapa Johari Rotana nikupige bufee inaonekana una njaaUngekuwa na uwezo huo huyo shemeji yako asingekudharau mbele ya dada yako. Tafuta hela acha makasiriko
Siku nikipata kazi za kufanya nitahama ndio!KWA HIYO NA WEWE SIKU UKIHAMISHWA KITUO CHA KAZI, UTAPOTEA HUMU
SAWASiku nikipata kazi za kufanya nitahama ndio!
Oya mwanangu hivi ni kawaida kuombwa hela na wanawake kitaa hata hamjuani??Mkuu acha kutumana taaluma zetu, tunakesha tunafukuza mapepo 😁