secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Wala si kweli, mbona mi sikai sana JF na Sina kazi.Si wanasaga ukikaa sana jf maana yake hunaga kazi au😁
Wala si kweli, mbona mi sikai sana JF na Sina kazi.Si wanasaga ukikaa sana jf maana yake hunaga kazi au😁
Sasa unaishije? Uwe unaanzisha nyuzi matajiri wanakuchangia chochote kitu😆Maana wana forum hawapendi kuona mtu hana kazi na yuko jf muda wote, mimi napambana nao tu hakuna jinsi😁Wala si kweli, mbona mi sikai sana JF na Sina kazi.
Nifanyie mchongo wa kazi hapo kwenye kampuni yenu/yako 😂.Sasa unaishije? Uwe unaanzisha nyuzi matajiri wanakuchangia chochote kitu😆Maana wana forum hawapendi kuona mtu hana kazi na yuko jf muda wote, mimi napambana nao tu hakuna jinsi😁
Mimi natoa wapi ndugu yangu ndege😁Nifanyie mchongo wa kazi hapo kwenye kampuni yenu/yako 😂.
Nimechoka kupiga vizinga miye! Na vile tajiri Bantu Lady hayupo siku hizi naambulia patupu samtaimz.Mimi natoa wapi ndugu yangu ndege😁
We tusubiri wale wa kulisha koo nzima waje tukawaombe watulishe!
Wenzako wanaokota anzisha nyuzi tu! Ni kama kaajira unajua!?🙄Nimechoka kupiga vizinga miye! Na vile tajiri Bantu Lady hayupo siku hizi naambulia patupu samtaimz.
Hahaha 😂, hiyo kwangu hapana.Wenzako wanaokota anzisha nyuzi tu! Ni kama kaajira unajua!?🙄
Unasubiri ganda la ndizi sio?Hahaha 😂, hiyo kwangu hapana.
Nakoroga zege hapa!Unasubiri ganda la ndizi sio?
Hakuna namna! Maana nikajua unasubiri uteleze tu!Nakoroga zege hapa!
😂 Utelezi gani?Hakuna namna! Maana nikajua unasubiri uteleze tu!
Si donors wakuletee pesa pm bila ww kujidhalilisha humu🤓😂 Utelezi gani?
Mwenzako Bantu lady alikuwa naniletea pesa PM sasa nashangaa wewe huniletei.Si donors wakuletee pesa pm bila ww kujidhalilisha humu🤓
Mimi pesa za kugawa natoa wapi jobless pro😂🙌🏾Mwenzako Bantu lady alikuwa naniletea pesa PM sasa nashangaa wewe huniletei.
😯 Kwani we si mshangazi?Mimi pesa za kugawa natoa wapi jobless pro😂🙌🏾
Ndio😎😯 Kwani we si mshangazi?
Wewe ndiye ama siye.Ndio😎
Ndiye!😁Wewe ndiye ama siye.
"Jamani raha siyo rahaNdiye!😁